Huyu ni Ustaadhi Lowassa!!

Huyu ni Ustaadhi Lowassa!!

Kigarama

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2007
Posts
2,492
Reaction score
1,239
attachment.php


Huyu ni ustaadhi Edward Lowassa!!
 

Attachments

  • lowassa-important.JPG
    lowassa-important.JPG
    12.3 KB · Views: 3,235
View attachment 39120

Huyu ni ustaadhi Edward Lowassa!!

Da!! Huyu jamaa anautafuta uraisi kwa nguvu kwelikweli,naona hapo anataka kupata sapoti ya Bakwata,na kwasababu ya akili mbovu za Bakwata usije ukasikia wanakwambia Lowasa sio fisadi,na watu wasikipigie kura chama kinachosema Lowasa ni fisadi..nasema hivi maana Bakwata wanapenda sana kutoa matamko kwenye hoja nyepesi nyepesi na majitaka.....
 
hapa hatutoi tamko, labda ingekuwa mwanamke kavaa hivyo hapo Bar-kwataa ingeaandamana kushinikiza ndoa ivunjwe na mke apigwe mawe hadi afe!!
 
Watu wakisema huyu bwana ni msanii watu wengine utasikia wakisema eti OH MNAMUONEA.
 
Amependeza sana..bravo mavazi ya heshima

Mavazi ya peponi
 
Watu wakisema huyu bwana ni msanii watu wengine utasikia wakisema eti OH MNAMUONEA.

kwa taarifa tu ni kwamba LOWASA AMESOMA FINE AND PERFOMIN ARTS(FPA)-HII NI KOZI INAYOTOLEWA NA IDARA YA FPA PALE UDSM-CHINI YA COLLEGE OF ARTS AND SOCIAL SCIENCE(CASS),ZAMAN FACULTY OF ARTS AND SOCIAL SCIENCE(FASS).......so huu usanii wa lowassa msiushangae wadau,,,,mkewe ndo alisomema mambo ya sayansi huko,,,,japo alimzidi miaka(ya kimasomo) lakin lowasa alimpa somo akabeba mzigo
 
Kuna mtu aliyejifanya muislamu huko igunga inasemekana alivaa hijabu akavuliwa! waislamu wakatoa Tamko Kali, Hv Majuzi imebainika kuna mwislamu aliuawa huko igunga kwa sababu za kisiasa na mpaka sasa waislam wote wako kimya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom