Huyu ni Ustaadhi Lowassa!!

I wonder why most politician appear good in islamic kind of dress like kanzu and baragashia, I remember last bunge session.
sometime wahusika wenyewe hawavai but in politics " everything has its meaning, No religion in politics"
I hv just comment on dress and not specific person on this photo
 
Kapendeeza kweli kweli.Akisimama yeye na dkt Slaa kura yangu kwake.

Nimekumbuka!.
Kumbe huyu ni mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo.Ndiye alisaini MOU inayofanya kazi mpaka leo kuwapendelea wakristo.
 
Ni msanii by profession, pale UDSM kasomea degree ya Arts and Theatre.

Sasa sanaa anazileta kwenye siasa hata wakati anajiuzulu alienda na vina
Nimeonewa sanaa..
nimedhulumiwa sana..
............................. sana...................
 
imani siyo mavazi.....Ruksa kuvaa bana.
kama imani siyo mavazi mbona Bi. Fatuma alipovuliwa kile (maana sijui kama ilikuwa ni Hijabu au Mtandio) kitambaa watu walikuja juu na kutoa matamko ya ajabu ajabu.

kwa hiyo Mzee wa Monduli akitoka hapo na kutinga Bar na Hiyo kanzu hali itakuwa Mutrib tuu hakutakuwa na Timbwili?
 
Hivyo ndivyo uraisi unavyo sakwa lazima ujue kila na vipofu baada ya kuwajengea shule wajeengee madrasa shule wakaombe serkalini bakwata are cheep like gabeji ubwaubwa tu wanatoa tamko la kuua mtu
 
attachment.php


Huyu ni ustaadhi Edward Lowassa!!

Mwili wake ni mweupe na kanzu ni nyeupe; sijui moyo wake pia ni....... au ni.........
 
Hawa watu dizaini ya huyo wa katikati sitakii hata kuwasikia, walinitia hasara kubwa sana! Nilichukua mkopo mahali nikajaribu kuwekeza kwa kufungua bar pale mwembebasha wakaichoma moto. Sss nadaiwa mkopo wa watu.
 
Hapati kura yangu ng'o!!!!!!!!!!!!!!!
Sijui atanishawishi vipi, labda nikiwa siko timamu..
 
Back
Top Bottom