HUYU NI PADRI AU SHEKHE?

mirna92

JF-Expert Member
Feb 20, 2019
496
1,000
Hapo wimbo pengine ni kwaya, na walimwengu wameweka hilo sebene.
Staili ya kucheza ni Kwaito.
Ahsante mkuu bora wewe umeweza kunifungua kuliko wachangiaji wanaotanguliza lawama,
Kwa sababu mi kilichonichanganya ni hilo vazi alovaa huyo mwanaume ndio maana nikauliza.
 

avogadro

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
3,950
2,000
ibada za kanisa katoliki hazijaachana na tamaduni za sehemu husika.Tatizo ni pale mtu anakuwa halielewi vizuri kanisa na anataka afananishe na imani anayoiishi kinafiki. Kifupi kanisa katoliki kucheza muziki sii dhambi na wala kunywa pombe sii dhambi hivyo usione tunafanya mambo hayo ukashangaa ni mambo ya kawaida sana. Hapo yawezekana ni Congo na ibada zao zipo hivyo, ushamba uliokujaa ni kuona midundo hiyo ya sebene kwa kuwa wakongo wamekuja huku wanazitumia kwenye bendi mnashangaa hiyo ni midundo yao ya ngoma za asili huzicheza popote.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy

mirna92

JF-Expert Member
Feb 20, 2019
496
1,000
Mbona sioni tatizo hata kidogo? Obsession au tafsiri mbaya ya mambo inatufanya tuone kila kitu kama kibaya hata kama hakuna sababu ya kufanya hivyo. Kucheza muziki siyo dhambi kwa padri au sheikh. Dhambi ni kutenda jambo baya linalowathiri wengine.
Sijasema kuna ubaya au kuna dhambi jamani jaribuni kuelewa swali, hapo sija hukumu wala sijalaumu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom