HUYU NI PADRI AU SHEKHE?

sidhani kama itakusaidia kuwadhalilisha. These are photoshop manipulation for ill purposes.
ibada za kanisa katoliki hazijaachana na tamaduni za sehemu husika.Tatizo ni pale mtu anakuwa halielewi vizuri kanisa na anataka afananishe na imani anayoiishi kinafiki. Kifupi kanisa katoliki kucheza muziki sii dhambi na wala kunywa pombe sii dhambi hivyo usione tunafanya mambo hayo ukashangaa ni mambo ya kawaida sana. Hapo yawezekana ni Congo na ibada zao zipo hivyo, ushamba uliokujaa ni kuona midundo hiyo ya sebene kwa kuwa wakongo wamekuja huku wanazitumia kwenye bendi mnashangaa hiyo ni midundo yao ya ngoma za asili huzicheza popote.
Ingekua busara zaidi ungesema hayo yote ningejua umenifahamisha vizuri kuliko kutia neno ushamba au unafiki, ok ahsa nte kwa jibu lako.
 
Back
Top Bottom