Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,254
Tabibu Calm..........
Umetisha................
Tabibu Calm..........
Tulia wewe acha kukurupika
kama Naibu
Loh! Kwa mapozi yangu ya picha nimegundua siasa ni big no.
Ni kenyewe sura bora nyau
Nyani Ngabu njoo uone 'mrembo' huku
Jamani em tulien tulia jamani acheni fuko mtulie mtoa thread na ww tulia
Hebu mwenye udhibitisho aseme wazi huyu ni Dr Tulia au tunamsingizia tu. Ukitazama hiyo picha amefanana naye sasa sijui ni watu tu wanataka kuzua mambo au pengine kweli muheshimiwa alipiga hiyo picha enzi za ujana wake.
0715 imebaki mwaaaa
NaKweli kuna haja ya ku-Tulia
Halafu bado naisubiri picha yako ujue