GIUSEPPE
JF-Expert Member
- Dec 31, 2011
- 5,239
- 6,240
Ngoja nikutafutie the best pose.
Nimesubiri sana ujue....
Sasa kama we unajua si u-tulie bwana aaagh, we tulia kabisa atakuja mwenyewe kuthibitisha na atatuambia hiyo picha alipiga akiwa wapi...Hebu mwenye udhibitisho aseme wazi huyu ni Dr Tulia au tunamsingizia tu. Ukitazama hiyo picha amefanana naye sasa sijui ni watu tu wanataka kuzua mambo au pengine kweli muheshimiwa alipiga hiyo picha enzi za ujana wake.
Umeolewa ?mbona ulipotea?