Haswa...bila baba yake asingekuwa Vodacoma(ya Rostam)....bila baba yake nduguye asingekuwa mbunge....bila baba yake huyo mzungu pengine asingemuwowa...siasa na nguvu za utawala

swadakta: bila baba yake mzungu asingemuwowa kwani huyumzungu alikuwa mme wa mtu (mnigeria) alivyoanza infidelity na huyo mzungu yule mama (mke wa mzungu) alivyo lalamika akawa deported- nguvu kubwa ya dora ilitumika.