Huyu ni nani?

Nilikuwa nataka kuuliza next natural question.. hasa mahusiano yake na Gen. Mboma.. na DRC nadhani connection niliyotaka kuithibitisha nimeishaiona.. Shukrani
 
Huyu jamaa CV yake mbona ni kubwa lakini hajawahi kuandikwa magazetini? au kuwekwa kwenye any website for any reasons?

Labda kama spelling imekosewa, lakini kwa sifa mlizozitaja kuanzia kumiliki vituo mpaka kununua timu, lazima alitakiwa apatikane kwenye internet. Ukitumia google search unalipata JF forum tu, kwenye hii thread ya MKJJ!

If so, then sijajua hiyo report ina nini, ila kutopatikana kwenye media kwa mtu 'prominent' kama yeye is real alarming! Tabia za kutopigwa picha hovyo na kuficha ficha habari zako ni tabia za kigaidi.
 
Waberoya; kuna majina tutakapoanza kuyashusha tunaweza kuitwa wahaini; Hivi hamjajiuliza Balozi wenu mpya kule Burundi ana husiana vipi na huyu jamaa?
 
Waberoya; kuna majina tutakapoanza kuyashusha tunaweza kuitwa wahaini; Hivi hamjajiuliza Balozi wenu mpya kule Burundi ana husiana vipi na huyu jamaa?
Mwanakijiji hili nalo linafikirisha. .....then acha niendelee kufikiri.
 
Nilikuwa nataka kuuliza next natural question.. hasa mahusiano yake na Gen. Mboma.. na DRC nadhani connection niliyotaka kuithibitisha nimeishaiona.. Shukrani

Ndio walikuwa wanadeal na mafuta ya jeshi?
 
Tuko katika kufanyia kazi ripoti moja muhimu sana; jina moja limeongezewa:

Merei Balhaboo

Je mwamjua huyu jamaa pale Morogoro?
Mzee Mwanakijiji, bado watuacha mataa pamoja na data zote zilizoanikwa kuhusu huyu jamaa. "Ripoti muhimu sana", jina moja limeongezwa!..Anyway nadhani subira yavuta kheri, ngoja tuisubiri ripoti hiyo!
 
huyu Jamaa alitoa Gari tatu aina ya Land Rover pale Uwanja wa Jamuhuri pamoja na mafuta ya kampeni ya CCM mkoa wa Morogoro baada ya JK kuhutubia mkutano mkubwa wa kampeni ndani ya uwanja wa Jamuhuri mwaka 2005 mwezi October, kisha akatoa Offer ya mafuta kwa gari hizo tatu kwa msimu wote kwa kampeni hizo nnchi nzima. kifupi ni mfadhili wa CCM.....NAENDELEA KUMKUMBUKA HUYU JAMAA.
 
Waberoya; kuna majina tutakapoanza kuyashusha tunaweza kuitwa wahaini; Hivi hamjajiuliza Balozi wenu mpya kule Burundi ana husiana vipi na huyu jamaa?

Ndio tunathibitisha kuwa JK huwa anateuaje hawa watu? na je Usalama wa taifa wanafanya nini nchi hii? kushinda bar na kutisha watu kuwa wao usalama wa taifa?
 
Reactions: MI6
 
Nafikiri wafanyabiashara wengine ambao hawategemeu uchumi wao kwa kodi za wananchi moja kwa moja ila biashara zao hatuitaji kuwachokonoa kama kuna tuliowapa dhamana na wanashirikiana nahao wafanyabiashara kutuhujumu tuwashikilie hao wenye dhamana.
 
Waberoya; kuna majina tutakapoanza kuyashusha tunaweza kuitwa wahaini; Hivi hamjajiuliza Balozi wenu mpya kule Burundi ana husiana vipi na huyu jamaa?

Nimestuka sana katika hili,inawezekana Merei naye ana nguvu kama ya RA ya kusema kinyamana natake awe waziri wa madini na ikawa kwaajili ya kulinda interest zake? basi nchi hii kuna mambo mazito zaidi ya tujuavyo.
 
Pia Ndugu yake huyo Balhabou ni consul wa comoro nchini Tanznaia

Embassy of the Union Comores in Tanzania
P.O.Box 5999
Dar es Salaam
Tel + 255 22 2602021
Fax +255 22 2602019
Honorary Consul: Mr. Islam A. S. Balhabou
 
Nimestuka sana katika hili,inawezekana Merei naye ana nguvu kama ya RA ya kusema kinyamana natake awe waziri wa madini na ikawa kwaajili ya kulinda interest zake? basi nchi hii kuna mambo mazito zaidi ya tujuavyo.

believe me.. what we see and complain about is just the "tip" of an Icebeg. There is more than what meets the eyes.. Si kuna ule msemo kuwa "avumaye baharini papa.."
 
Nilikuwa nataka kuuliza next natural question.. hasa mahusiano yake na Gen. Mboma.. na DRC nadhani connection niliyotaka kuithibitisha nimeishaiona.. Shukrani

Ndio walikuwa wanadeal na mafuta ya jeshi?

well it depends what is meant by "mafuta yajeshi".. next question.. jeshi gani?

Mkuu, Unaweza kuongeza pia jina la Albert Marwa katika huu mtiririko..wa Mboma, Mafuta, Majeshi nchi za jirani...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…