Huyu Ni nani? Nisaidie I

NyaniMzee

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
396
727
IMG_2432.JPG

Wakuu wa Jukwaa la kimataifa, huyu mheshimiwa aliyevaa Tai nyekundu kushoto Kwa PM huwa anatikisa kichwa tu kukubaliana na hoja za PM May! Ni nani huyu nimeshindwa kumfahamu. Msaada tafadhali just out of curiosity!
 
Ni Chancellor of the exchequer Philip Hammond na mwanachama wa Conservatives chama kinachotawala uingereza.

Fafanua maana ya hiyo 'Chancellor of the Exchequer'...Comrade siyo wote tunafahamu mambo haya...Binafsi naweza nikafikiri kuwa ni 'Mkuu wa Chuo Kikuu cha Exchequer'......tehtehtehteteh (a joke please)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom