Huyu ni nani hapa JF

Huyu ni nani hapa JF

Ilisikika sauti ikisema "Mama ivi ViteNesi mbona havidundi''
 
Huyu atakuwa Bitoz[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Sijui hatua gan ungechukua apo kwa huyo mtoto
Pozi lake tu ingebidi nimuache na hayo yaliyobaki nampikia akiwa anaona ajue utamu wake na siku inayofuata namchinjia kuku na kimuelekeza hao kuku wanavyotokea ili siku nyingine asiyapasue
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom