Huyu ni nani hapa JF

The hammer

JF-Expert Member
May 17, 2011
2,396
1,784
1460195010277.jpg
 
Na hawampati mtu hapa

Wala Mkuu yupo tu mjinga mjinga mmoja atajipendekeza kisha mods watafanya yao. Kwani wewe huwa huoni Mara river wale NYUMBU wakiwa wanakatisha ule mto kwa uwingi wao kisha mamba huwa anajisogeza tu mahala kutega na anawaacha wote wanavuka lakini katika wale wa mwisho mwisho kuna wawili watatu ambao ni MAPOPOMA wataingia mkenge na kuliwa!
 
Unetisha mkuu wapo watakaonaswa na hili jaribio lao la kututafutia BAN kinguvu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom