Huyu ni mzee wa "picha ya leo" akipewa discpline na my wife wake

Mkikatwa miguu na viganja mnalalamika!

Thubutu! chezea wale wasiojijuwa wa huko vijijini kwenu.

Hapa ni mujini, "walikuja na nywele vichwani wakarudi makwao vipara". Hiyo ilikuwa kauli mbiu yetu enzi hizo, umeshawahi isikia?
 
Thubutu! chezea wale wasiojijuwa wa huko vijijini kwenu.

Hapa ni mujini, "walikuja na nywele vichwani wakarudi makwao vipara". Hiyo ilikuwa kauli mbiu yetu enzi hizo, umeshawahi isikia?

Wa mujini hawafanyiwi hivyo, but kunako kiboga ndo discipline yenyewe!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…