Huyu ni msanii wa kiume..

Mambo ya Ngoswe, muachie Ngoswe mwenyewe.

Kuna watu karibu milioni 70 Tanzania. Utawafuatilia wote na ku control vichwa vyao?
 
Tena ni mwana ccm na anasema october inatiki,

No reofrm no election, huyo msanii tuwaachie ccm
 
Ndio nani nae huyo huko Dar?!
Wengine hatujawahi fika...

No Reforms, No Election.
 
Punga
 
Na kitendo cha Makanisa kuruhusu na kubariki ndoa za jinsia Moja kimechangia pia wasanii kumomonyoa maadili ya watanzania.
Mfano: kanisa ANGALIKANA.
 
Ni msanii wa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…