Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,340
- 46,128
Tumia akili, hizi spana nitawapiga nyote mnaojifanya kutaka tamaduni msizokua nazo. Ukiambiwa tajaa hizo tamaduni hata chache huna, haya basi zimeandikwa wapi nikazisome mwenyewe holaa.Wewe kavae madera, vitenge na vikuku. I'm done
Wewe kavae sketiTumia akili, hizi spana nitawapiga nyote mnaojifanya kutaka tamaduni msizokua nazo. Ukiambiwa tajaa hizo tamaduni hata chache huna, haya basi zimeandikwa wapi nikazisome mwenyewe holaa.
Ujue zamani hata mziki ilionekana ni uvunjivu wa maadili, ila saivi ndio huo hata mwanao unapenda awe Amonaizi.
Haya tuje suruali za kubana (modo), ilikuaje na sasa hivi vipi wewe unavaa mabwanga??
Suruali kwa wanawake na nguo za kubana, zamani ilikuaje vipi sasa hivi. Si ajabu hata dada zako na mkeo wanatokelezea tako linatikiswa tu. Ila zamani walivunja maadili.
Ushauri wangu ni kua, linda kizazi chako na hayo unayoita sio maadili ila usipangie watu wafanye nini maana nchi yenu haina mjumuisho wa hayo maadili.
Dadeki linda wanao.Wewe kavae sketi
Vipi tukuagizie ABAYA?Dadeki linda wanao.
Usipokua makini, mwanao wa kiume atapiga picha kama ya huyo dogo hapo. Na wewe utaishia kulaumu mitandao ya kijamiin na wasanii kua wamemuharibu.
Shaurilo.
Sijawahi kuthubutu hata kuwafollowNliamua ku unfollow hawa ma celebrity wa bongo baada ya kugundua wana mambo ya kipuuzi mno
Wanaume kama mabinti...Hatari sana
AgizaVipi tukuagizie ABAYA?
High heels pia unatumia?Agiza
Mameku wengi ni warembo, wakijipimp kidogo tu tayari anakua pisi kali 😀😀Meku kazingua😂😂
Meku ni nani mkuuMeku kazingua😂😂
We agiza kutumia au kutotumia haihusian si unataka nimpe mwanangu??High heels pia unatumia?
Hizo heels ni kwaajili yako. Zinakuja full package na sidiria za pinkiWe agiza kutumia au kutotumia haihusian si unataka nimpe mwanangu??
Ulisema na dera nalo usisahau
Hizo siwezi kuzitembelea sasa, lete viatu vya chini tuHizo heels ni kwaajili yako. Zinakuja full package na sidiria za pinki
Kakaa nitakuja kumjadili Msigwa kwenye uzi spesheli kwa ajili ya platform??Meku ni nani mkuu