Jitu la kienyeji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,424
- 7,941
Je, huyu mnyama nyama yake ni kitoweo? Ngozi yake yenye miiba miiba ni tiba na miiba yake ni kinga kubwa sana kwa binadamu vigezo na masharti vikizingatiwa kisawasawa?
Je huyu mnyama nyama yake ni kitoweo? , ngozi yake yenye miiba miiba ni tiba na miiba yake ni kinga kubwa sana kwa binadamu vigezo na masharti vikizingatiwa kisawasawa ????View attachment 1799708
Karunguyeye kwa kiswahiliHedgehog
Sio nungunungu huyu ni karunguyeye yeye harushi miba kuna watu wanamtumia kwenye matumizi ya tiba za asili sana hasa kilimoKarunguwewe.
Kakaake anaitwa nungunungu... Anarusha miba huyo! 😬😬
Kuna jamaa mmoja ndo mboga yake huyo Sasa katoka mabaka mabaka usoni tukimwambia acha Kula iyo kitu haelewiHata Nami Nawaona Sana
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji125][emoji125][emoji125]Ni mpole kama financial services[emoji1][emoji1][emoji1]
Mkuu naacha kuwala rasmi...Kuna jamaa mmoja ndo mboga yake huyo Sasa katoka mabaka mabaka usoni tukimwambia acha Kula iyo kitu haelewi
😀😀 mbona mkorofi sana weweNi mpole kama financial services😄😄😄
Nungunungu anaumbo kubwa Karunguyeye umbo lake ni dogo.Nini tofauti ya Karunguyeye na Nungunungu?
Hapana huyo ni karungu yeye anapatikana mazingira tunayoishinungunungu mdogo huyo
Nungu nungu hilo ulilotaja nila kilughaKidunguMaria