Natambua sana hilo nafarijka nawe umeliona
kumbeee umepatikana.,.
Red Scorpion ukimaanisha yule jsmaa aliyetajwa na Mr Rocky ama?
ndio wangu yaani wameniach uchi kabisaa....
Kumbe mbaya hivo??? Jana hadi nimeota usiku ukinyago wako...
kweli nina sura mbaya, najua umeota mpaka uka....lakini nina pesa...!
Pesa ngapi unazo babu
zipo za kutosha....
View attachment 181351nitamkopesha hizi bila riba
kweli nina sura mbaya, najua umeota mpaka uka....lakini nina pesa...!