kabanga, hata mm hiiimnichekesha maana ni tungo tata, labda tuulize kwa tanganyikakwanza, eti mkuu, mahusiano ya kabanga na jamaa wa mjengoni yakoje, au wote dakika 3 mbele?
Yaani bila kuwa mkavu huwezi kuishi mjini maana kila mtu anajiona mjuaji....
tatizo muda mwingine wanakatisha tamaa, jana umeonanae tena unaweza kuwa hata na mkubwa wake siku ya pili eti amekusahau, leo nilikomaa nao nikawaacha hadi kibaruani nikapaki gari nikawakabidhi walinzi nikaingia juu, kimya! ugomvi ukawa na walinzi eti oh amekimbia dola, wakalivuta gari baada ya muda kuna mtua analijua akanipigia kwenda oh samahani mlipe jamaa wa kuvuta uwende zako, nikamwambia umeona ugumu gani kupora gari liko kwa walinzi baada ya kunisubiri...Nimejikuta hapa mjini kila traffic ninayekutana nae ni mshkaji. Kila nikikatiza barabara za mji nakutana nao ni washkaji siku njyingine hata nje ya mji nakutana nao
Ndo raha ya "kuwaona" hawa jamaa ukikutana nao wakiwa na njaa kabanga
kumbeee umepatikana.,.ni kweli nifafana nae... Mr Rocky m'baya...yaani mshana jr ameiba wapi hii picha yangu nilivyokuwa mgonjwa....
General8 wajua huyu mshana jr muhuni wakati tupo hospital kaka nae alikuwa mgonjwa...
yaani unayachokoza ili kinipande tena ....
nimekuja hasira nimemalizia kwa watu wajiji walikuja kuvuta gari yangu parking kisa eti nilishusha mtu sehemu sio stahili....
ah... nimeupata wajua miss chagga ananipenda alipita kimya hapa kaja mbio kuniuliza, ikabidi ni mwambie ukweli wangu...
jamaa wameniumbua hawa....
nimekusikia Mr Rocky....
Khantwe hawa watu wabaya, hapa nilipo naogopwa je hivi walivyotoa picha yangu ya zamani si ndio balaa hata mwanao janeth1 ndio atanipitia mbali....
kabanga muhimu hata wale wanaokata ticket zile za parking hakikisha unafahamiana nao kwa karibu siku nyingine mpe mia tano mwachie akikate ticket na siku nyingine ukienda hatakusumbua
Mjini hapa wale jamaa wa kuvuta magari wako karibu sana kuangalia makosa muda wote na ukicheza nao utakuta gari yako iko yard
Kabisa kaka thanx mno ila handset ninayotumia kwa sasa majanga nimekusoma sana kiongozi