Huyu nesi kaniacha hoi

Huyu nesi kaniacha hoi

huyu nurse wako ni mjinga tuu maana anadhani kupima siku moja kunaweza kuwa ushahidi wa kutokuwa HIV/AIDS.

HIVI HUYU NURSE GANI HANA HATA ELIMU JUU YA HIVAIDS?

yawezekana nesi aliamua kumpima mkware nyendo zake kwa kuintroduce ishu ya kupima HIV. Kwa mtu mwenye nyendo nzuri hawezi kusita kupima. mmi nipo tayari kupima at any time!
 
Nimekuwa kwenye urafiki na nesi flani kwa muda mrefu,nikiwa na kawaida ya kumtembela nyumbani kwake tunapiga story,mwisho ikataokea uhusiano flani hivi usio rasmi.

Nikawa napata chakula nyumbani kwake time ya kuondoka napiga lita kama kawaida ila anakataa kunipa ile kitu inameza mwenzio.

Juzi tu nikaenda kwa kujitoa akili kabisa nimepiga kiroba jogoo yangu nae hakuonyesha kubana akanipa ushirikiano mpaka tukabaki kama Mungu alivyotujalia kutuumba,nia yangu nilitaka nipige ndizi nyama mara nikasikia ohh subiri kidogo nikauliza nn shida?n

Naomba tutest,nikauliza nn tutest?akajibu HIV na vipimo ninavyo,nikamwambia hamna shida,wakati anainuka kwenda kabatini kuchukua kipimo nikaanza kuvuta matukio yote niliyopiga ya hatari akili ikanituma hiyo kitu siwezi alivyorudi kitandani akajitoboa mwenyewe na kuweka damu kwenye kipimo baadae akaniomba mkono nikamjibu naomba nipe hicho kipimo nikapime nyumbani kwangu majibu yakiwa mazuri nitarudi,nikavaa nguo zangu na kuondoka mpaka sasa hivi sijapima na wala sijamtafuta hewani,majibu yake yeye yalikuwa poa.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

Haahaahaa🙂 Hivi W0GA wakp kupima au MAT0KE0 ya kipim0? Umemkpsa NURSE hivihivi na kujua status tak0 ya ng0ma!
 
Ehhh vipi Jamaa mbishi!!

Huyu jamaa mpuuzi kweli, yaani anaona sifa kutopima ngoma na kujisifia madhambi aliyokuwa anafanya huko nyuma. Sasa anamkomoa nani? Hebu fikiria, ama wewe mimi49 jiweke kwenye nafasi ya huyo nesi (mshikaji wa huyu jamaa) utajihisije kama mtu wako anakufanyia hivi? Yaani hataki kupima ngoma kwa kuwa anaogopa, then unampa vipimo anakataa kupima kuhofia kujua afya yake. Si ni upuuzi huu? If this guy is dating my sister, I swear I will cut his balls off.
 
Last edited by a moderator:
Nimekuwa kwenye urafiki na nesi flani kwa muda mrefu,nikiwa na kawaida ya kumtembela nyumbani kwake tunapiga story,mwisho ikataokea uhusiano flani hivi usio rasmi.

Nikawa napata chakula nyumbani kwake time ya kuondoka napiga lita kama kawaida ila anakataa kunipa ile kitu inameza mwenzio.

Juzi tu nikaenda kwa kujitoa akili kabisa nimepiga kiroba jogoo yangu nae hakuonyesha kubana akanipa ushirikiano mpaka tukabaki kama Mungu alivyotujalia kutuumba,nia yangu nilitaka nipige ndizi nyama mara nikasikia ohh subiri kidogo nikauliza nn shida?n

Naomba tutest,nikauliza nn tutest?akajibu HIV na vipimo ninavyo,nikamwambia hamna shida,wakati anainuka kwenda kabatini kuchukua kipimo nikaanza kuvuta matukio yote niliyopiga ya hatari akili ikanituma hiyo kitu siwezi alivyorudi kitandani akajitoboa mwenyewe na kuweka damu kwenye kipimo baadae akaniomba mkono nikamjibu naomba nipe hicho kipimo nikapime nyumbani kwangu majibu yakiwa mazuri nitarudi,nikavaa nguo zangu na kuondoka mpaka sasa hivi sijapima na wala sijamtafuta hewani,majibu yake yeye yalikuwa poa.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

Hayatuhusu. This is your private business.
 
jamani mbona unaogopa hivyo? usiogope namtakia kila la kheri katika upimaji wa afya yake na sio katika suala la uzinzi. soma vizuri nilivyoandika ndo utaelewa...
Seriously??!!! Kwenye afya au uzinzi?
 
sasa dogo huyu ndiyo mwanamke wa kuishi naye anayejari maisha yake na yako .kama namna ngani nipatie huyo nasi mimi nitangaze ndoa.natafuta sana mwanamke kama huyo aliyeserous na swala afya .nipatie bas cmu yake kwenye inbox yangu mkuu
 
Huyu jamaa mpuuzi kweli, yaani anaona sifa kutopima ngoma na kujisifia madhambi aliyokuwa anafanya huko nyuma. Sasa anamkomoa nani? Hebu fikiria, ama wewe mimi49 jiweke kwenye nafasi ya huyo nesi (mshikaji wa huyu jamaa) utajihisije kama mtu wako anakufanyia hivi? Yaani hataki kupima ngoma kwa kuwa anaogopa, then unampa vipimo anakataa kupima kuhofia kujua afya yake. Si ni upuuzi huu? If this guy is dating my sister, I swear I will cut his balls off.
Taratibu basi naona unatoka cheche..karibuni utalipuka...Ndio wengi walivyo na sababu kubwa ni kwamba hawajatulia wanaendekeza ngono zembe na wana msururu wa wapenzi..Lazima mtu uogope!!
 
haisaidiii Kababi ni sawa na kukikikimbia kivuli chako,pima ujijue uanze kuishi kwa matumaini kama umeukwaa.
'Bado nafikiria nikikuta hali mbaya nitafanyaje si bora niendelee kuishi bila kujua status yangu.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
ukiona hivyo ameshakupima kwa macho machale yakamcheza....bora upime tu ujitambue
 
'Bado nafikiria nikikuta hali mbaya nitafanyaje si bora niendelee kuishi bila kujua status yangu.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Kababi, ni muhimu sana kujijua ili hatua stahiki zifuatwe, kinyume na hapo mimi husema ni ushanba
Utaogopa mpaka uvalishwe nepi, Pole yako, Kapime haraka sana ili uwe na uamuzi
 
Last edited by a moderator:
Sipati picha.. ulivo sikia kupima ukimwi tu ... DUSHE likasinzia Ziiiiiiii! na munkari wa mfadhaiko kwishnei ha! Ha! Ha!
 
Back
Top Bottom