Huyu nesi kaniacha hoi

Huyu nesi kaniacha hoi

sasa hiyo damu ya ng'ombe mkuu ungekuwa unatembea nayo au?mana mwenzio kashtukizwa,ndomana hata kiloba kilikata

Si walikubaliana aende na kipimio nymbani ili akajipime mwenyewe?
 
Umenikumbusha mdogo wangu, yeye walikubaliana ila alivyoona majibu ya mkaka mabaya; akampa ya kwake ili kutompanikisha kaka wa watu.

Ila alimtolea nje kisilensa.
 
Aisee nimejikuta nacheka peke yangu hapa yaani navuta picha jnsi kiroba kilivyoyeyuka gafla hadi ukakumbuka kuwa ni noma kupima na ukasepa. You have made my day.

Nakumbuka jamaa yangu alinipa kipimo cha kijipima miaka hiyo loh nilikiweka ndini zaidi ya mwaka kila nikitaka kutest nashindwa siku nikasema ngoja nipige castle lager za kutosha ili nipime loh kumbe kimexpire akitoi majibu mpaka leo yapata miaka 8 sijawahi pima hiyo kitu kwakuwa my wife yupo fresh na nina kidz 2 nikipimo tosha.
 
Safi sana huyo nesi ni mfano wa kuigwa anastahili pongezi kwa kyjali afya yake kwa vitendo.
 
Nakumbuka jamaa yangu alinipa kipimo cha kijipima miaka hiyo loh nilikiweka ndini zaidi ya mwaka kila nikitaka kutest nashindwa siku nikasema ngoja nipige castle lager za kutosha ili nipime loh kumbe kimexpire akitoi majibu mpaka leo yapata miaka 8 sijawahi pima hiyo kitu kwakuwa my wife yupo fresh na nina kidz 2 nikipimo tosha.

Hahahaa kweli hicho kipimo kinatosha mkuu? Lakini yataka moyo kupima kwakweli. mimi bado miaka miwili nikapime kwani kazini ni mandatory yaani sijui itakuwaje? mara ya kwanza Pre-employment Kwapa lilijaa maji kama bahari ya hindi uso ukalowa kabisa kama nimetoka kubatizwa vile yaani duuh.
 
Taratibu basi naona unatoka cheche..karibuni utalipuka...Ndio wengi walivyo na sababu kubwa ni kwamba hawajatulia wanaendekeza ngono zembe na wana msururu wa wapenzi..Lazima mtu uogope!!

Nilishalipuka tayari na kama vile ulijuwa maana cheche nilizomwaga kidogo nichome nyumba ya jirani kwani ziliruka mno.
 
Umenikumbusha mdogo wangu, yeye walikubaliana ila alivyoona majibu ya mkaka mabaya; akampa ya kwake ili kutompanikisha kaka wa watu.

Ila alimtolea nje kisilensa.

Mmmh!! huyo mdogo wako aliponea kwenye tundu la sindano...
 
Yani mpaka mmevua bado akakumbuka kipimo? u need to learn how to make them beg for it dude!
 
Hahahaa kweli hicho kipimo kinatosha mkuu? Lakini yataka moyo kupima kwakweli. mimi bado miaka miwili nikapime kwani kazini ni mandatory yaani sijui itakuwaje? mara ya kwanza Pre-employment Kwapa lilijaa maji kama bahari ya hindi uso ukalowa kabisa kama nimetoka kubatizwa vile yaani duuh.

Ulizama uvinza.
 
Nasi wa aina hii wachache sana bongo wengi wao kuvua bikini faster hawaoni shida,mi mwenyewe nimewakamua wengi ila kwa buti aiseeee kavu kavu naogopa sana
 
Back
Top Bottom