mwallu
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 6,787
- 4,215
naungana na wewe..katika kumpenda nesi
Huyu nesi kiboko, nimempenda sana aisee
Huyu nesi kiboko, nimempenda sana aisee
hahahaaaaaa hahaaaa nimecheka sana pima mkuu ukweli utakuweka huru ndugu ila punguza kucheza rafu,ila ukiujua ukweli utakuwa huru zaidiNimekuwa kwenye urafiki na nesi flani kwa muda mrefu,nikiwa na kawaida ya kumtembela nyumbani kwake tunapiga story,mwisho ikataokea uhusiano flani hivi usio rasmi.
Nikawa napata chakula nyumbani kwake time ya kuondoka napiga lita kama kawaida ila anakataa kunipa ile kitu inameza mwenzio.
Juzi tu nikaenda kwa kujitoa akili kabisa nimepiga kiroba jogoo yangu nae hakuonyesha kubana akanipa ushirikiano mpaka tukabaki kama Mungu alivyotujalia kutuumba,nia yangu nilitaka nipige ndizi nyama mara nikasikia ohh subiri kidogo nikauliza nn shida?n
Naomba tutest,nikauliza nn tutest?akajibu HIV na vipimo ninavyo,nikamwambia hamna shida,wakati anainuka kwenda kabatini kuchukua kipimo nikaanza kuvuta matukio yote niliyopiga ya hatari akili ikanituma hiyo kitu siwezi alivyorudi kitandani akajitoboa mwenyewe na kuweka damu kwenye kipimo baadae akaniomba mkono nikamjibu naomba nipe hicho kipimo nikapime nyumbani kwangu majibu yakiwa mazuri nitarudi,nikavaa nguo zangu na kuondoka mpaka sasa hivi sijapima na wala sijamtafuta hewani,majibu yake yeye yalikuwa poa.
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Nimekuwa kwenye urafiki na nesi flani kwa muda mrefu,nikiwa na kawaida ya kumtembela nyumbani kwake tunapiga story,mwisho ikataokea uhusiano flani hivi usio rasmi.

Aisee nimependa strategy ya huyo nesi!!She is one smart lady!!!
mkuu weka picha
Seriously??!!! Kwenye afya au uzinzi?...huyu anakujali mkuu...wewe pima jiamini tu...kila la kheri inshaallah!
kwahiyo yangetoka safi mngedinyana wakati mnatakiwa kurudia tena vipimo baada ya muda ili kujihakiki! nurse hakulifikiria hilo.
ipi sasa , ya nesi? ya kwake?, au wakati wapo kama walivyozaliwa? hakika ni burudani JFmkuu weka picha
Heheh nesi naye alikuwa anataka ale ndizi nyama....