Huyu nesi kaniacha hoi

Huyu nesi kaniacha hoi

Romance tulifanya sana tu,nilivyomuuliza hiyo vp akaniambia ni asilimia kidogo kupata kwa njia ya romance.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

Its like negligible. Ni mpaka wote wawili muwe na vidonda mdomoni.
 
'Bado nafikiria nikikuta hali mbaya nitafanyaje si bora niendelee kuishi bila kujua status yangu.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

Mungu akusamehe. kumbuka maneno yanaumba hivyooooo
 
du pole bro mi ilinitokea tukapima majibu yakawa poa basi tunakula vyetu ungejikaza tu kwan kujua ni kuzuri zaidi..ila pole naona ukawa mdogo gafla
 
Nimekuwa kwenye urafiki na nesi flani kwa muda mrefu,nikiwa na kawaida ya kumtembela nyumbani kwake tunapiga story,mwisho ikataokea uhusiano flani hivi usio rasmi.

Nikawa napata chakula nyumbani kwake time ya kuondoka napiga lita kama kawaida ila anakataa kunipa ile kitu inameza mwenzio.

Juzi tu nikaenda kwa kujitoa akili kabisa nimepiga kiroba jogoo yangu nae hakuonyesha kubana akanipa ushirikiano mpaka tukabaki kama Mungu alivyotujalia kutuumba,nia yangu nilitaka nipige ndizi nyama mara nikasikia ohh subiri kidogo nikauliza nn shida?n

Naomba tutest,nikauliza nn tutest?akajibu HIV na vipimo ninavyo,nikamwambia hamna shida,wakati anainuka kwenda kabatini kuchukua kipimo nikaanza kuvuta matukio yote niliyopiga ya hatari akili ikanituma hiyo kitu siwezi alivyorudi kitandani akajitoboa mwenyewe na kuweka damu kwenye kipimo baadae akaniomba mkono nikamjibu naomba nipe hicho kipimo nikapime nyumbani kwangu majibu yakiwa mazuri nitarudi,nikavaa nguo zangu na kuondoka mpaka sasa hivi sijapima na wala sijamtafuta hewani,majibu yake yeye yalikuwa poa.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

Aisee nimejikuta nacheka peke yangu hapa yaani navuta picha jnsi kiroba kilivyoyeyuka gafla hadi ukakumbuka kuwa ni noma kupima na ukasepa. You have made my day.
 
Nimekuwa kwenye urafiki na nesi flani kwa muda mrefu,nikiwa na kawaida ya kumtembela nyumbani kwake tunapiga story,mwisho ikataokea uhusiano flani hivi usio rasmi.

Nikawa napata chakula nyumbani kwake time ya kuondoka napiga lita kama kawaida ila anakataa kunipa ile kitu inameza mwenzio.

Juzi tu nikaenda kwa kujitoa akili kabisa nimepiga kiroba jogoo yangu nae hakuonyesha kubana akanipa ushirikiano mpaka tukabaki kama Mungu alivyotujalia kutuumba,nia yangu nilitaka nipige ndizi nyama mara nikasikia ohh subiri kidogo nikauliza nn shida?n

Naomba tutest,nikauliza nn tutest?akajibu HIV na vipimo ninavyo,nikamwambia hamna shida,wakati anainuka kwenda kabatini kuchukua kipimo nikaanza kuvuta matukio yote niliyopiga ya hatari akili ikanituma hiyo kitu siwezi alivyorudi kitandani akajitoboa mwenyewe na kuweka damu kwenye kipimo baadae akaniomba mkono nikamjibu naomba nipe hicho kipimo nikapime nyumbani kwangu majibu yakiwa mazuri nitarudi,nikavaa nguo zangu na kuondoka mpaka sasa hivi sijapima na wala sijamtafuta hewani,majibu yake yeye yalikuwa poa.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

Yaani kweli katika watu wapuuzi duniani naona wewe ndiye unayevunja rekodi. Unajijuwa hauko fiti ya nini kumuumiza ama kumpa mwenzio magonjwa kwa makusudi? Vipimo unavyo na hautaki kujipima ili ujijuwe uko vipi, kingine pia mpaka muda huu hujam-beep huyo nesi unafikiri anakufikiriaje? Acha ujinga na ushamba tena bora hata usingekuja hapa. nenda kaungue moto huko, shetani mkubwa we.
 
Ehhh vipi Jamaa mbishi!!
 
Last edited by a moderator:
Ishanikuta hiyo ..ndo principles za manes wengi ....ila nilipata tabu kweli maana skiwa tayari akanchoma wakat nimelala kushtuka tayar anamajibu ....had sasa nina mwaka niko nae mambo kama kawaida .......game on ...
 
Nimekuwa kwenye urafiki na nesi flani kwa muda mrefu,nikiwa na kawaida ya kumtembela nyumbani kwake tunapiga story,mwisho ikataokea uhusiano flani hivi usio rasmi.

Nikawa napata chakula nyumbani kwake time ya kuondoka napiga lita kama kawaida ila anakataa kunipa ile kitu inameza mwenzio.

Juzi tu nikaenda kwa kujitoa akili kabisa nimepiga kiroba jogoo yangu nae hakuonyesha kubana akanipa ushirikiano mpaka tukabaki kama Mungu alivyotujalia kutuumba,nia yangu nilitaka nipige ndizi nyama mara nikasikia ohh subiri kidogo nikauliza nn shida?n

Naomba tutest,nikauliza nn tutest?akajibu HIV na vipimo ninavyo,nikamwambia hamna shida,wakati anainuka kwenda kabatini kuchukua kipimo nikaanza kuvuta matukio yote niliyopiga ya hatari akili ikanituma hiyo kitu siwezi alivyorudi kitandani akajitoboa mwenyewe na kuweka damu kwenye kipimo baadae akaniomba mkono nikamjibu naomba nipe hicho kipimo nikapime nyumbani kwangu majibu yakiwa mazuri nitarudi,nikavaa nguo zangu na kuondoka mpaka sasa hivi sijapima na wala sijamtafuta hewani,majibu yake yeye yalikuwa poa.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
huyu nurse wako ni mjinga tuu maana anadhani kupima siku moja kunaweza kuwa ushahidi wa kutokuwa HIV/AIDS.

HIVI HUYU NURSE GANI HANA HATA ELIMU JUU YA HIVAIDS?
 
kwahiyo yangetoka safi mngedinyana wakati mnatakiwa kurudia tena vipimo baada ya muda ili kujihakiki! nurse hakulifikiria hilo.

Mtu kukubali kupima kwa kustukizwa hivyo inaweza kuwa dalili kuwa anayaamini mapitio yake! Si umeona Kababi alivyotoka mbio
 
Last edited by a moderator:
Hajakutana na 'Makomandoo wa mujini'. Hiyo tester inawekwa damu ya ng'ombe tuu, majubu anaonyeshwa negative! Mwenyewe anaachia kitumbua kimegwe!
Chezeya town weye!

sasa hiyo damu ya ng'ombe mkuu ungekuwa unatembea nayo au?mana mwenzio kashtukizwa,ndomana hata kiloba kilikata
 
kupima sio ishu, kuchukua majibu watu husepa kweupe. chezea HIV!
Mguu wako wa tatu ikawa bamia ghafla. najaribu kujenga picha ukiwa mtupu wakati nesi anajipima. unaweza kunitumia # yake ya simu? ni pm mkuu!
 
Back
Top Bottom