Kwa kuutumia weusi wa sokwe na nyani wengi wazungu wametudhihaki sana, kwa kutufananisha na kutuita nyani.sasa hapa sijui watasemaje ooh albino ooh.hapana porojo hapa huyu ni sokwe mweupe.ikiwa hivyo basi waafrika ni weusi na wazungu wote ni maalbino
Yule anaemwambiaga Seleman Semunyu amuandalie kabisa maswali before then ampe akatafute majibu kabisa halafu kisha akija pale kwenye kipindi kila swali analoulizwa ye majibu anasoma kwenye karatasi.
Yaani hua namkumbukaga sana huyu jamaa kila nikitajiwa hili neno.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.