Ha!ha!huu si urembo ambao ukamfanya achelewe hadi akakamatwa huu ni wa kuzaliwa nao Mungu anamaajabu yake,nakuona unapiga simu kuulizia iyo ishu ya Masogange hapo kwa Mh nae anaona kapokea.
Mkuu kama sokwe huyu ni albino
je,katika uzawa wake kuna albino kama yeye? Na kama yupo basi huyo ni albino na kama hayupo hiyo itakuwa ni danganya toto mkuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.