Huyu ndo mwanaume naemtaka

Huyu ndo mwanaume naemtaka

Napenda sana awe mfanyabiashara either ameajiriwa na anayo biashara japo mimi ni muajiriwa kwani matajiri wote ni wafanyabiashara, hakuna mtu anaefanikiwa hasa kwa mshahara tu.
(Kama hana naweza mfikiria)
Elimu kuanzia angalau form four si mbaya ili tuende sawa mana mimi nina bachelor

Ukiwa na gari/kiwanja/nyumba si mbaya na kama hauna pia haina shida >mimi nina nyumba moja.

Umri 28-35 tutamatch vizuri tu mana mimi nina 27

Akiwa na mtoto siwezi kukasirika sana mana na mimi ninaye ila babake mtoto wangu kaona michepuko ina thamani kwake kuliko mke so nimemwacha aendelee nao, kuliko kuendelea kulia kila siku, nimelia miaka minne non stop so nimeamua kumtua.

Anayejiheshimu na kumpenda Mungu mana hata mimi najiheshimu sijawahi kufanya ujinga , kosa ambalo pekee nililowahi kufanya ni la kumpenda mtu asiye sahihi kwenye maisha yangu.

Jamani awe mchapakazi yani jembe la kazi uwiii hapa naomba niandike nimesimama, jamani mimi ni mchapakazi, kazi nazofanya kuna wanaume hasa wa mkoa flani hawawezi, kiukweli mimi ni mchapakazi, kazini nimewahi kupewa zawadi mara mbili, yani napenda kufanya kazi ili tupate maendeleo.

Asiwe mpenda starehe pombe no, mashost shost na kampani ambazo hazileti maendeleo big nooooo

#Siyo kwamba huku sipendwi ila bado sijapata mtu mwenye sifa hizo.

#Kingine watu wengi walijua niko na mtu so bada ya kuachana ni kimya kimya kwa hiyo watu wanajua mimi ni mke wa mtu lakini ndo sirudi nyuma nikipata mtu naemweleWa akanielewa, hata arudi kwa magoti itakuwa ndo basi.
Mmmh
 
Unataka mwanaume asiechepuka? HAMNAA
Labda ukamloge
 
Hapo kwenye umri haupungui kidogo tufanye 26
 
Sifa zote nakaribia kuwa nazo,kasoro hiyo ya asiwe mnywa pombe,pombe napenda kwani ndio hunipa liwazo.Ila una ujasiri yaani unampangia mwanaume awe na kampani ipi ya marafiki,yaani unataka mtu wa kumcontrol!!
Huyu anataka bots (wanaitaga ngawira sijui) ... Ile mtu imekuwa programmed yani iwe easy to control
 
Una 27 umelia 4 yrs means uliolewa with 23 with bachelor na nyumba within such period of time in Tanzania system of education!!
Thanks very much
You are the hero.
Braza huyu bibie mbona kama namfahamu aisee kwenye real life .... Kuna bibie kabwagana na mumuewe this year.... Jamaa alikuwa na mpunga kinyama... Ila alikuwa anachepuka wakagombana demu kafungua kesi mali wamegawana pasu kwa pasu.... Aiseee ...ni kweli alikuwa na nyumba somewhere in dsm halafu ana bachelor.... Wazee changamkieni changamkieni hii manzi she speak the truth
 
wanaume wa mkoa Fulani ---------> DAASLAAAMUUU
 
Napenda sana awe mfanyabiashara either ameajiriwa na anayo biashara japo mimi ni muajiriwa kwani matajiri wote ni wafanyabiashara, hakuna mtu anaefanikiwa hasa kwa mshahara tu.
(Kama hana naweza mfikiria)
Elimu kuanzia angalau form four si mbaya ili tuende sawa mana mimi nina bachelor

Ukiwa na gari/kiwanja/nyumba si mbaya na kama hauna pia haina shida >mimi nina nyumba moja.

Umri 28-35 tutamatch vizuri tu mana mimi nina 27

Akiwa na mtoto siwezi kukasirika sana mana na mimi ninaye ila babake mtoto wangu kaona michepuko ina thamani kwake kuliko mke so nimemwacha aendelee nao, kuliko kuendelea kulia kila siku, nimelia miaka minne non stop so nimeamua kumtua.

Anayejiheshimu na kumpenda Mungu mana hata mimi najiheshimu sijawahi kufanya ujinga , kosa ambalo pekee nililowahi kufanya ni la kumpenda mtu asiye sahihi kwenye maisha yangu.

Jamani awe mchapakazi yani jembe la kazi uwiii hapa naomba niandike nimesimama, jamani mimi ni mchapakazi, kazi nazofanya kuna wanaume hasa wa mkoa flani hawawezi, kiukweli mimi ni mchapakazi, kazini nimewahi kupewa zawadi mara mbili, yani napenda kufanya kazi ili tupate maendeleo.

Asiwe mpenda starehe pombe no, mashost shost na kampani ambazo hazileti maendeleo big nooooo

#Siyo kwamba huku sipendwi ila bado sijapata mtu mwenye sifa hizo.

#Kingine watu wengi walijua niko na mtu so bada ya kuachana ni kimya kimya kwa hiyo watu wanajua mimi ni mke wa mtu lakini ndo sirudi nyuma nikipata mtu naemweleWa akanielewa, hata arudi kwa magoti itakuwa ndo basi.
Npoo tena sijatoka mikoa flan😍😍😂
 
Back
Top Bottom