Madam hero needs a house, and the baby need some shoes. Guess what I'm gonna do!SAME OLD SHIT JUST A DIFFERENT DAY

Wivu usizidi kipimo, maisha kusaidiana banaHapana mwache tu, wewe siupo, au unapenda ukiwa na mwenzako! Huoni wivu?
, au umechelewa washamuwahi wenzako, siku Nyingine kuwa makini kuangalia nyuzi kama hizi,utakosa mengi kijana@Madam Hero ,vipi ulikuwa na ndoa na huyo Jamaa au mlianzia ndondo kwanza ?Napenda sana awe mfanyabiashara either ameajiriwa na anayo biashara japo mimi ni muajiriwa kwani matajiri wote ni wafanyabiashara, hakuna mtu anaefanikiwa hasa kwa mshahara tu.
(Kama hana naweza mfikiria)
Elimu kuanzia angalau form four si mbaya ili tuende sawa mana mimi nina bachelor
Ukiwa na gari/kiwanja/nyumba si mbaya na kama hauna pia haina shida >mimi nina nyumba moja.
Umri 28-35 tutamatch vizuri tu mana mimi nina 27
Akiwa na mtoto siwezi kukasirika sana mana na mimi ninaye ila babake mtoto wangu kaona michepuko ina thamani kwake kuliko mke so nimemwacha aendelee nao, kuliko kuendelea kulia kila siku, nimelia miaka minne non stop so nimeamua kumtua.
Anayejiheshimu na kumpenda Mungu mana hata mimi najiheshimu sijawahi kufanya ujinga , kosa ambalo pekee nililowahi kufanya ni la kumpenda mtu asiye sahihi kwenye maisha yangu.
Jamani awe mchapakazi yani jembe la kazi uwiii hapa naomba niandike nimesimama, jamani mimi ni mchapakazi, kazi nazofanya kuna wanaume hasa wa mkoa flani hawawezi, kiukweli mimi ni mchapakazi, kazini nimewahi kupewa zawadi mara mbili, yani napenda kufanya kazi ili tupate maendeleo.
Asiwe mpenda starehe pombe no, mashost shost na kampani ambazo hazileti maendeleo big nooooo
#Siyo kwamba huku sipendwi ila bado sijapata mtu mwenye sifa hizo.
#Kingine watu wengi walijua niko na mtu so bada ya kuachana ni kimya kimya kwa hiyo watu wanajua mimi ni mke wa mtu lakini ndo sirudi nyuma nikipata mtu naemweleWa akanielewa, hata arudi kwa magoti itakuwa ndo basi.
SAME OLD SHIT JUST A DIFFERENT DAY
Sina tena haja ya kuhangaika kwenye nyuzi kama hizi kutafuta tafuta. Sana sana labda nije kutoa ushauri tu.Wivu usizidi kipimo, maisha kusaidiana bana, au umechelewa washamuwahi wenzako, siku Nyingine kuwa makini kuangalia nyuzi kama hizi,utakosa mengi kijana

Sasa ulipost uzi wa nini kama watu wana jitokeza na hutaki kuonyesha ushirikianoCan't
Nimebaki peke angu dadapole kwa kuvumilia... ila kwa karne hii mwanaume asie na michepuko yupo?
Nakila kitu Ila napenda pombe hapo ndo umeniudhi mjingalo weNapenda sana awe mfanyabiashara either ameajiriwa na anayo biashara japo mimi ni muajiriwa kwani matajiri wote ni wafanyabiashara, hakuna mtu anaefanikiwa hasa kwa mshahara tu.
(Kama hana naweza mfikiria)
Elimu kuanzia angalau form four si mbaya ili tuende sawa mana mimi nina bachelor
Ukiwa na gari/kiwanja/nyumba si mbaya na kama hauna pia haina shida >mimi nina nyumba moja.
Umri 28-35 tutamatch vizuri tu mana mimi nina 27
Akiwa na mtoto siwezi kukasirika sana mana na mimi ninaye ila babake mtoto wangu kaona michepuko ina thamani kwake kuliko mke so nimemwacha aendelee nao, kuliko kuendelea kulia kila siku, nimelia miaka minne non stop so nimeamua kumtua.
Anayejiheshimu na kumpenda Mungu mana hata mimi najiheshimu sijawahi kufanya ujinga , kosa ambalo pekee nililowahi kufanya ni la kumpenda mtu asiye sahihi kwenye maisha yangu.
Jamani awe mchapakazi yani jembe la kazi uwiii hapa naomba niandike nimesimama, jamani mimi ni mchapakazi, kazi nazofanya kuna wanaume hasa wa mkoa flani hawawezi, kiukweli mimi ni mchapakazi, kazini nimewahi kupewa zawadi mara mbili, yani napenda kufanya kazi ili tupate maendeleo.
Asiwe mpenda starehe pombe no, mashost shost na kampani ambazo hazileti maendeleo big nooooo
#Siyo kwamba huku sipendwi ila bado sijapata mtu mwenye sifa hizo.
#Kingine watu wengi walijua niko na mtu so bada ya kuachana ni kimya kimya kwa hiyo watu wanajua mimi ni mke wa mtu lakini ndo sirudi nyuma nikipata mtu naemweleWa akanielewa, hata arudi kwa magoti itakuwa ndo basi.
Aisee...! Hapo kwenye Nyumba au kiwanja nimefeli,
Mfanyabiashara... Hapo pia nimefeli japo nina mpango wa kuacha ajira ili nijiajiri,
Vilivyobaki nmefiti, yaani hapa home nilipopanga naishi kama kivuli

...naona pamekucha mkuu...Hii njia uliyotumia ni lazima ujute tena,Wanaume wapo wengi, ambao naweza kuanzisha naye relation mda wowote ila nataka mwanaume ambaye sintajuti tena
A husband