Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,652
- 5,134
Naona we utakuwa unatafuta mwekezaji si mume.
Niko hapapole kwa kuvumilia... ila kwa karne hii mwanaume asie na michepuko yupo?
Braza huyu bibie mbona kama namfahamu aisee kwenye real life .... Kuna bibie kabwagana na mumuewe this year.... Jamaa alikuwa na mpunga kinyama... Ila alikuwa anachepuka wakagombana demu kafungua kesi mali wamegawana pasu kwa pasu.... Aiseee ...ni kweli alikuwa na nyumba somewhere in dsm halafu ana bachelor.... Wazee changamkieni changamkieni hii manzi she speak the truth
Mmh umejuaje ndo mimiBraza huyu bibie mbona kama namfahamu aisee kwenye real life .... Kuna bibie kabwagana na mumuewe this year.... Jamaa alikuwa na mpunga kinyama... Ila alikuwa anachepuka wakagombana demu kafungua kesi mali wamegawana pasu kwa pasu.... Aiseee ...ni kweli alikuwa na nyumba somewhere in dsm halafu ana bachelor.... Wazee changamkieni changamkieni hii manzi she speak the truth
wenzio wapo kwenye pepa wasubirie haha nataniaHapo kwenye umri haupungui kidogotufanye 26
Pm ni nyingi mpaka nashindwa kuzisoma, umebaki tu wewe ujaja, una wivu sana weweKwa majungu hayo wanaume utawasikia kwenye social media wakisogea sana pm basi.
Usijifanye unanijua kuliko mimi.Una 27 umelia 4 yrs means uliolewa with 23 with bachelor na nyumba within such period of time in Tanzania system of education!!
Thanks very much
You are the hero.
Kuolewa unaolewa ila kila mtu kwa muda wake.akiwa na mtoto hutakasirika sana badala yake utakasirika kidogo tu??
kila la kheri madam
umekosea kunikwot bila shakaKuolewa unaolewa ila kila mtu kwa muda wake.
Nasio wote wamepangiwa waolewe hayo mambo mujue pia.
Sijakuquote wewe nimecomment jiraniumekosea kunikwot bila shaka
sawaSijakuquote wewe nimecomment jirani
Mupenzi wawatu mamboo madam s mzima mwambie nimemmiss sana nilikuja huko kwenye kongamano fulani.sawa
Yaani ukawahi kusoma , ukawahi kuzalishwa..........???????Wewe uwajui wabibi, mimi ni mdogo sana niliwahi kusoma, kuna watu wana age hiyo wapo chuo hawana ajira yani wapo wapo tu
Wanaochambuaga saaaana kama madame nanii.... Huwa wanawapata wale wale .....kwa kuwa wanaojua kumendea wanaweza kujifanya kondooo ....ngoja afike zizini anamenya taratibu .....anatumbua madame kila LA kheri utampata usiyemuhitajiKama kila unachoshauri asikilizi manake atambui mana ya kuwa mwenzi wake
hajambo...sawa zimefikaMupenzi wawatu mamboo madam s mzima mwambie nimemmiss sana nilikuja huko kwenye kongamano fulani.
Tukalala pale mkonge hotel kama unapajua.
Ila kapotea kisa nini??hajambo...sawa zimefika
sema wewe humuoni sio kapoteaIla kapotea kisa nini??
Kipendacho roho eti unakulaga nyama mbichisema wewe humuoni sio kapotea