Huyu ndo mwanaume naemtaka

Huyu ndo mwanaume naemtaka

Mmh mtoa mada, kwa hivyo vigezo ulivotoa, si useme tu kuwa unatafuta mwanaume wa kumchuna? Au useme kuwa unauza hiyo k*ma yako? bila shaka ww mtoa mada una undugu na hamisa mobeto maana c kwa udangaji huo Madam Hero
Sidangi na sijawahi kudanga, nina kazi ya maana inayonipa kula chochote na kuvaa kutunza mwanangu pia, nina nyumba yangu nilojenga mwenyewe, so sihitaji kumchuna mtu, ila aina ya mwanaume naemtaka ni fighter mwenye uchu na maendeleo ambaye tutafanya kazi pamoja na kufikia level flani ya maisha.

Hii ni kutokana na aina ya mwanaume niliekuwa nae, mbishi, ushauri wangu alikuwa hataki lakwake lakwake biashara anafungua anisikilizi siku mbili imekufa, mtaji unaisha, magari ananunua mabovu kwa watu namshauri usinunue asikilizi so kwa sasa nahitaji mwanaume anayejielewa sana tufanye maendeleo mana tungekuwa mbali
 
We unataka Mume au kusikilizwa?
 
Madam mimi ni mfanyabiashara, nina nyumba ya urithi na shamba la urithi pia.

Tatizo umri wangu ndio unagotea 25 siku sio nyingi zijazo. Vipi huwezi kulegeza masharti ili na mimi nikidhi vigezo?

NB: Mtoto sijawahi hata kusingiziwa.
 
Back
Top Bottom