Huyu ndo mwanaume naemtaka

Huyu ndo mwanaume naemtaka

Naona unataka mfanya Biashara ili uwe unazichota vizuri maana kila siku zinaingia ila unajua muajiliwa atakwambia mpaka mwisho wa mwezi acha wizi
 
Napenda sana awe mfanyabiashara either ameajiriwa na anayo biashara japo mimi ni muajiriwa kwani matajiri wote ni wafanyabiashara, hakuna mtu anaefanikiwa hasa kwa mshahara tu.
(Kama hana naweza mfikiria)
Elimu kuanzia angalau form four si mbaya ili tuende sawa mana mimi nina bachelor

Ukiwa na gari/kiwanja/nyumba si mbaya na kama hauna pia haina shida >mimi nina nyumba moja.

Umri 28-35 tutamatch vizuri tu mana mimi nina 27

Akiwa na mtoto siwezi kukasirika sana mana na mimi ninaye ila babake mtoto wangu kaona michepuko ina thamani kwake kuliko mke so nimemwacha aendelee nao, kuliko kuendelea kulia kila siku, nimelia miaka minne non stop so nimeamua kumtua.

Anayejiheshimu na kumpenda Mungu mana hata mimi najiheshimu sijawahi kufanya ujinga , kosa ambalo pekee nililowahi kufanya ni la kumpenda mtu asiye sahihi kwenye maisha yangu.

Jamani awe mchapakazi yani jembe la kazi uwiii hapa naomba niandike nimesimama, jamani mimi ni mchapakazi, kazi nazofanya kuna wanaume hasa wa mkoa flani hawawezi, kiukweli mimi ni mchapakazi, kazini nimewahi kupewa zawadi mara mbili, yani napenda kufanya kazi ili tupate maendeleo.

Asiwe mpenda starehe pombe no, mashost shost na kampani ambazo hazileti maendeleo big nooooo

#Siyo kwamba huku sipendwi ila bado sijapata mtu mwenye sifa hizo.

#Kingine watu wengi walijua niko na mtu so bada ya kuachana ni kimya kimya kwa hiyo watu wanajua mimi ni mke wa mtu lakini ndo sirudi nyuma nikipata mtu naemweleWa akanielewa, hata arudi kwa magoti itakuwa ndo basi.
Mbona huji pm
 
Madam mimi ni mfanyabiashara, nina nyumba ya urithi na shamba la urithi pia.

Tatizo umri wangu ndio unagotea 25 siku sio nyingi zijazo. Vipi huwezi kulegeza masharti ili na mimi nikidhi vigezo?

NB: Mtoto sijawahi hata kusingiziwa.
hujawahi hata kusingiziwa mtoto hahaa, mpk hapo ushaqualify kijana,umri si kitu sana. mfate tu huko mkayajenge. future husband wa mleta uzii
 
Kwa hivyo vigezo unatafuta mwanaume au unasaka danga lako?
Huyo wa hivyo akikupenda kwa dhati labda iwe umemuumba!!!
 
yani hizo sifa zote ndo unataka umpate mtu....duh....yani haponi kama betting unaweka timu 20 bado unataka kushindd ..unashanga kila siku zinachana.....hakuna..kama yupo basi ameshaoa....la sivyo sifa moja moja tu hapo au mbili
 
Napenda sana awe mfanyabiashara either ameajiriwa na anayo biashara japo mimi ni muajiriwa kwani matajiri wote ni wafanyabiashara, hakuna mtu anaefanikiwa hasa kwa mshahara tu.
(Kama hana naweza mfikiria)
Elimu kuanzia angalau form four si mbaya ili tuende sawa mana mimi nina bachelor

Ukiwa na gari/kiwanja/nyumba si mbaya na kama hauna pia haina shida >mimi nina nyumba moja.

Umri 28-35 tutamatch vizuri tu mana mimi nina 27

Akiwa na mtoto siwezi kukasirika sana mana na mimi ninaye ila babake mtoto wangu kaona michepuko ina thamani kwake kuliko mke so nimemwacha aendelee nao, kuliko kuendelea kulia kila siku, nimelia miaka minne non stop so nimeamua kumtua.

Anayejiheshimu na kumpenda Mungu mana hata mimi najiheshimu sijawahi kufanya ujinga , kosa ambalo pekee nililowahi kufanya ni la kumpenda mtu asiye sahihi kwenye maisha yangu.

Jamani awe mchapakazi yani jembe la kazi uwiii hapa naomba niandike nimesimama, jamani mimi ni mchapakazi, kazi nazofanya kuna wanaume hasa wa mkoa flani hawawezi, kiukweli mimi ni mchapakazi, kazini nimewahi kupewa zawadi mara mbili, yani napenda kufanya kazi ili tupate maendeleo.

Asiwe mpenda starehe pombe no, mashost shost na kampani ambazo hazileti maendeleo big nooooo

#Siyo kwamba huku sipendwi ila bado sijapata mtu mwenye sifa hizo.

#Kingine watu wengi walijua niko na mtu so bada ya kuachana ni kimya kimya kwa hiyo watu wanajua mimi ni mke wa mtu lakini ndo sirudi nyuma nikipata mtu naemweleWa akanielewa, hata arudi kwa magoti itakuwa ndo basi.
Bila shaka me nakizi vigezo vyako, nakuja PM
 
Sidangi na sijawahi kudanga, nina kazi ya maana inayonipa kula chochote na kuvaa kutunza mwanangu pia, nina nyumba yangu nilojenga mwenyewe, so sihitaji kumchuna mtu, ila aina ya mwanaume naemtaka ni fighter mwenye uchu na maendeleo ambaye tutafanya kazi pamoja na kufikia level flani ya maisha.

Hii ni kutokana na aina ya mwanaume niliekuwa nae, mbishi, ushauri wangu alikuwa hataki lakwake lakwake biashara anafungua anisikilizi siku mbili imekufa, mtaji unaisha, magari ananunua mabovu kwa watu namshauri usinunue asikilizi so kwa sasa nahitaji mwanaume anayejielewa sana tufanye maendeleo mana tungekuwa mbali
Unahitaji mwanaume anyejielewa au utakaye muweka kwapani? Maana umesema uliyekuwanaye alikuwa hakusikilizi,hapokei ushauri wako.
 
Ukisubiri umpate mwenye sifa zote hizo uzitakazo nazani utasubiri sana tu mpaka umri utakutupa mkono
Halafu anaweza kujikuta anajuta kumuacha mzazi mwenzio, manake vigezo hivoo ni wachache mno walionavyo
 
Napenda sana awe mfanyabiashara either ameajiriwa na anayo biashara japo mimi ni muajiriwa kwani matajiri wote ni wafanyabiashara, hakuna mtu anaefanikiwa hasa kwa mshahara tu.
(Kama hana naweza mfikiria)
Elimu kuanzia angalau form four si mbaya ili tuende sawa mana mimi nina bachelor

Ukiwa na gari/kiwanja/nyumba si mbaya na kama hauna pia haina shida >mimi nina nyumba moja.

Umri 28-35 tutamatch vizuri tu mana mimi nina 27

Akiwa na mtoto siwezi kukasirika sana mana na mimi ninaye ila babake mtoto wangu kaona michepuko ina thamani kwake kuliko mke so nimemwacha aendelee nao, kuliko kuendelea kulia kila siku, nimelia miaka minne non stop so nimeamua kumtua.

Anayejiheshimu na kumpenda Mungu mana hata mimi najiheshimu sijawahi kufanya ujinga , kosa ambalo pekee nililowahi kufanya ni la kumpenda mtu asiye sahihi kwenye maisha yangu.

Jamani awe mchapakazi yani jembe la kazi uwiii hapa naomba niandike nimesimama, jamani mimi ni mchapakazi, kazi nazofanya kuna wanaume hasa wa mkoa flani hawawezi, kiukweli mimi ni mchapakazi, kazini nimewahi kupewa zawadi mara mbili, yani napenda kufanya kazi ili tupate maendeleo.

Asiwe mpenda starehe pombe no, mashost shost na kampani ambazo hazileti maendeleo big nooooo

#Siyo kwamba huku sipendwi ila bado sijapata mtu mwenye sifa hizo.

#Kingine watu wengi walijua niko na mtu so bada ya kuachana ni kimya kimya kwa hiyo watu wanajua mimi ni mke wa mtu lakini ndo sirudi nyuma nikipata mtu naemweleWa akanielewa, hata arudi kwa magoti itakuwa ndo basi.
Njoo pm,na mimi nina kisa kama chako
 
Back
Top Bottom