Huyu ndo mpinzani aliyebaki!

Huyu ndo mpinzani aliyebaki!

chamilo nicolous

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2016
Posts
2,112
Reaction score
1,492
Poleni sana kwa kazi nyingi za kutwa nzima.
Nimekuwa nikiwaza na kuwazua juu ya wasemaji na viongozi wa vyama vya siasa, hususani hawa wanao jiita wapinzani.

Binafsi naamini siasa ni sera, siasa ni hoja, upinzani ni fikra tofauti za kimtazamo na sii vinginevyo.

HOJA: Sasa ikiwa kiongozi wa siasa anabaki kuwaombea wananchi mabaya, eti nchi inyimwe misaada ni sera ipi, hii ni hoja ipi kisiasa na inajenga vipi chama na wanachama??

ZAIDI: Je sisi tunaoshangilia tunapoombewa mabaya yatufike tunafahamu tunachokifanya?

Swali: Hakuna mpinzani mwenye unafuu, ? huyu ndo pee aliyebaki?? washabiki wake mjitafakari kungali mchana.
 
Poleni sana kwa kazi nyingi za kutwa nzima.
Nimekuwa nikiwaza na kuwazua juu ya wasemaji na viongozi wa vyama vya siasa, hususani hawa wanao jiita wambinzani.
Binafsi naamini siasa ni sera, siasa ni hoja, upinzani ni fikra tofauti za kimtazamo na sii vinginevyo.

HOJA: sasa ikiwa kiongozi wa siasa anabaki kuwaombea wananchi mabaya, eti nchi hinyimwe misaada ni sera ipi, hii ni hoja ipi kisiasa na inachenga vipi chama na wanachama??
ZAIDI: je sisi tunaoshangilia tunapoombewa mabaya yatufike tunafahamu tunachokifanya?
Swali: hakuna mpinzani mwenye unafuhuu, ? huyu ndo pee aliyebaki?? washabiki wake mjitafakari kungari mchana.

Raisi alishakataa misaada siku nyingi, na hilo lipo wazi!
 
Kuandika kwenyewe hujui,je unategemea utaweza kujenga hoja GT wakakuelewa kweli? Huu muda ungetumia kusoma ili ujue kusoma na kuandika ili uje kuteuliwa DC au RC mkuu.
wewe ndo unae shangilia ujinga wa lisu, heri unge mwambia anapotoka, hacha kuwa mnafiki kama lisuuuu
 
Mnafiki lissu mbona alitangazia mataifa yatunyime msaada
Kuheshimu demokrasia + kuzingatia haki za binadamu = kupewa misaada

Kukiuka misingi ya demokrasia + kukandamiza haki za bibadamu = kunyimwa misaada

Imebidi nikunyumbulishie kama mtoto wa chekechea labda utaelewa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Bila shaka huyu ni form 4 ya kata tena aliyepata zero!Uandishi gani huo hata mtoto wa darasa la 6 angeandika vema kuliko hivi!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kuheshimu demokrasia + kuzingatia haki za binadamu = kupewa misaada

Kukiuka misingi ya demokrasia + kukandamiza haki za bibadamu = kunyimwa misaada

Imebidi nikunyumbulishie kama mtoto wa chekechea labda utaelewa.
ndani ya chadema kuna demokrasia? thibitisha
 
Poleni sana kwa kazi nyingi za kutwa nzima.
Nimekuwa nikiwaza na kuwazua juu ya wasemaji na viongozi wa vyama vya siasa, hususani hawa wanao jiita wambinzani.
Binafsi naamini siasa ni sera, siasa ni hoja, upinzani ni fikra tofauti za kimtazamo na sii vinginevyo.

HOJA: sasa ikiwa kiongozi wa siasa anabaki kuwaombea wananchi mabaya, eti nchi hinyimwe misaada ni sera ipi, hii ni hoja ipi kisiasa na inachenga vipi chama na wanachama??
ZAIDI: je sisi tunaoshangilia tunapoombewa mabaya yatufike tunafahamu tunachokifanya?
Swali: hakuna mpinzani mwenye unafuhuu, ? huyu ndo pee aliyebaki?? washabiki wake mjitafakari kungari mchana.

huyo ni raia kama walivyo raia wengine , amejaribu kuonesha ni jinsi gani nchi inayo jidai inaendeshwa kwa misingi ya kidemocrasia inavyo haribu maksudi democrasia ,kwahiyo kwanini ahukumiwe kwa jicho la kipinzani wakati anahoji na kutoa maoni yake kwa mujibu wa katibaaaaaa?
 
Mwenyekiti wako si ndo alitamba hataki misaada sasa mnatokwa povu la nini?
 
Back
Top Bottom