Poleni sana kwa kazi nyingi za kutwa nzima.
Nimekuwa nikiwaza na kuwazua juu ya wasemaji na viongozi wa vyama vya siasa, hususani hawa wanao jiita wambinzani.
Binafsi naamini siasa ni sera, siasa ni hoja, upinzani ni fikra tofauti za kimtazamo na sii vinginevyo.
HOJA: sasa ikiwa kiongozi wa siasa anabaki kuwaombea wananchi mabaya, eti nchi hinyimwe misaada ni sera ipi, hii ni hoja ipi kisiasa na inachenga vipi chama na wanachama??
ZAIDI: je sisi tunaoshangilia tunapoombewa mabaya yatufike tunafahamu tunachokifanya?
Swali: hakuna mpinzani mwenye unafuhuu, ? huyu ndo pee aliyebaki?? washabiki wake mjitafakari kungari mchana.