Huyu ndo mpinzani aliyebaki!

Huyu ndo mpinzani aliyebaki!

Poleni sana kwa kazi nyingi za kutwa nzima.
Nimekuwa nikiwaza na kuwazua juu ya wasemaji na viongozi wa vyama vya siasa, hususani hawa wanao jiita wambinzani.
Binafsi naamini siasa ni sera, siasa ni hoja, upinzani ni fikra tofauti za kimtazamo na sii vinginevyo.

HOJA: sasa ikiwa kiongozi wa siasa anabaki kuwaombea wananchi mabaya, eti nchi hinyimwe misaada ni sera ipi, hii ni hoja ipi kisiasa na inachenga vipi chama na wanachama??
ZAIDI: je sisi tunaoshangilia tunapoombewa mabaya yatufike tunafahamu tunachokifanya?
Swali: hakuna mpinzani mwenye unafuhuu, ? huyu ndo pee aliyebaki?? washabiki wake mjitafakari kungari mchana.
Mwandiko wenyewe umenipa jibu, sitaki kuhoji sana
 
huyo ni raia kama walivyo raia wengine , amejaribu kuonesha ni jinsi gani nchi inayo jidai inaendeshwa kwa misingi ya kidemocrasia inavyo haribu maksudi democrasia ,kwahiyo kwanini ahukumiwe kwa jicho la kipinzani wakati anahoji na kutoa maoni yake kwa mujibu wa katibaaaaaa?
katiba ya chadema au katiba ipi, ambayo inasema mbunge awaombee njaa, shida wapiga kura wake?
 
weweee, kila anaye shangilia ujinga wa lissu, anashida fulani fulani hivi, aidha anatumia unda, viloba, au hana vyeti
Kwa uandishi huu,kuna kila sababu ya JF kusajili members kwa "vyeti halisi" walau hata kidato cha nne.

Sent from my Kremlin using JamiiForum mobile app
 
Kwa uandishi huu,kuna kila sababu ya JF kusajili members kwa "vyeti halisi" walau hata kidato cha nne.

Sent from my Kremlin using JamiiForum mobile app
kina sugu, lema, kubenea, prof.j hawatapaka nafasi. au na wewe umelopoka bila kujua, lissu alilopoka, hakujua kuwa nchi ikinyimwa msaada ata wapiga kula wake wataathirika
 
Haki za binadamu ni kubwa sana kuliko.Misada ya fedha. Heri ufe kishujaa kuliko kuishi kwa kunyimwa haki za ubinadamu.... Wanye akili nyingi ndio wanaweza kuliona hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni sana kwa kazi nyingi za kutwa nzima.
Nimekuwa nikiwaza na kuwazua juu ya wasemaji na viongozi wa vyama vya siasa, hususani hawa wanao jiita wambinzani.
Binafsi naamini siasa ni sera, siasa ni hoja, upinzani ni fikra tofauti za kimtazamo na sii vinginevyo.

HOJA: sasa ikiwa kiongozi wa siasa anabaki kuwaombea wananchi mabaya, eti nchi hinyimwe misaada ni sera ipi, hii ni hoja ipi kisiasa na inachenga vipi chama na wanachama??
ZAIDI: je sisi tunaoshangilia tunapoombewa mabaya yatufike tunafahamu tunachokifanya?
Swali: hakuna mpinzani mwenye unafuhuu, ? huyu ndo pee aliyebaki?? washabiki wake mjitafakari kungari mchana.

Mbona Rais alisema hataki misaada kwasababu aliepita alikua ombaomba lakini amkumkemea?
 
wewe mshika mkoba wa lissuu, hujui madhara ya nchi kunyimwa msaada?? muulize ata kilaza kubenea atakujibu

misaada ya nini katika utawala wa huu? nyie si mnajidai mna uwezo wa kujitegemea sasa misaada ya nini? wafukuzeni acacia mchimbe wenyewe kama mnafikiri ni rahisi.
 
Back
Top Bottom