Huyu ndiye tapeli wa mtandao wa "KUPATANA"

Huyu ndiye tapeli wa mtandao wa "KUPATANA"

Siku zote mi huwa nasema tuna wajinga wengi sana wenye vyeti mbalimbali. Mi sielew huko shulen wanafundishwa nini...au wanajifunza nini.

Watu wana graduate degrees in ignorance. Hawatak kabisa kushirikisha ubongo na akili zao hata kidogo.we kwel unaambiwa curved tv tsh 200,000 au 500,000 unakubal? We una akili kweli?

Unaambiwa iphone lakh 500000 mpya kabisa latest model unaamini? Kwa hilo jambo jamaa wala simlaumu mwachen atengeneze pesa za watu wajinga na wapumbavu.wajinga ndio waliwao wenye akili hawaliwi
 
ukiwa mjinga utaibiwa tuu,,we unaanzaje kutuma hela kabla hata ya kuona bidhaa asee?
hua najiuliza sipati jibu...how do you trust a person in the first place na unamtumia hela juu...upuuzi...
 
Hata hivyo,mtu anaetuma pesa bila kuiona bidhaa na muuzaji anakua na ulegevu wa akili,mi nimenunua magari mawili kupitia mtandao huo,muuzaji wa kwanza aliniletea gari kutoka Sumbawanga mpaka Dodoma,nikamhakikisha kwa kupiga simu eneo atokalo kwa watu ninaowajua kama wanamfahamu maana alisema ni mtumishi,wakanithibitishia,nikahamia upande mwingine kuthibitisha kama gari ni lake,nikafika TRA na nilipopata jibu vzr nikapanda nae mpaka UDOM pale CRDB nikamtoa mkwanja wake tukamalizana nikawasha mchuma nikasepa Mwanza home,gari la pili hvyo hvyo nililinunua Arusha kupitia mtandao huo huo,nikafanya yale yale mpaka nikafika office anayofanya kazi jamaa,nilipojilidhisha nikatafuta mwanasheria tukamaliza biashara.so mtu anaepiga tu simu kwa muuzaji na kisha anatuma pesa yeye mwenyewe ana tatizo
 
Suala hili ungeliwasilisha chini ya vyombo vya Dola
 
Hivi mtu unaanzaje kuamini mtu anaweza uza vitu vya bei ghali auze bei rahisi hivyo..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom