Aliwaliza na anaendelea kuwaliza wengi, anachofanya anaweka vitu vya thamani kubwa kwa bei rahisi huku akisema tuma pesa sababu mzigo wengi wanauulizia sasa wabongo wanavyopenda mteremko wanajaa,ukishatuma tu imekula kwako, anajitambulisha kwa majina mbali mbali kama Abdul, Omary huku akisema yeye yupo Iringa.
I
Hivi ndugu zangu kweli LG 55" iuzwe laki mbili tena pamoja na home theatre?
Chini ni moja ya bidhaa zake za "kutapelia".
I
Hivi ndugu zangu kweli LG 55" iuzwe laki mbili tena pamoja na home theatre?
Chini ni moja ya bidhaa zake za "kutapelia".