Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 25,040
- 60,227
Endeleeni kulia njaa.Huwezi kutoa mil 2 Tsha kununua simu wewe
Endeleeni kulia njaa.Huwezi kutoa mil 2 Tsha kununua simu wewe
Kiki gani sasa what is 1200 USD ?Acha kiki
Hahahah aise ....ama kwel utapeli tu huuI phone 7 laki 5?wakati mimi nimenunua USD 1200
Hongera mkuu kwa kushtuka ...dah ilibaki kidogo tu ninunue hiyo apple macbook
HahahaKiki gani sasa what is 1200 USD ?
Hahahahaaa! Yaani nimecheka kwa sautitv itoke iringa? kweli?
Umebadili jina?Sasa mambo gani haya Yakuja kuniandika huku nakuniita tapeli? Siyo fair kabisa.
.....maaaavii yakoo!!;I phone 7 laki 5?wakati mimi nimenunua USD 1200
😀😀😀😀😀😀😀Yaani unaanzaje kutapeliwa na Mwanaume wa Mkoani?
Mkuu mtandao sio mbaya sisi wanunuaji ndo malofa mtu unatumaje hela bila kuona au kuupokea mzigo wakati unajua kabisa wabongo ni wapigaji full.Huu mtandao Wa kuppatna uangaliwe sana ..watu wanapgwa sana
Ndio mkuu. Dah tena umebadili avatar pichaUmebadili jina?
FUTA KAULI YAKO MARA MOJA, IRINGA SI MKOA WA WASHAMBA HATA KIDOGO...Huyu tapeli ana akili pia. Amechagua kuonesha anatokea mkoa ambao watu wake huonekana kama watiifu, wakarimu na washamba. Mtu aliye mkoa uliochangamka huona kua anaua tembo kwa ubua, thubutuuu mbuzi wewe.
By the way kuna uzi kabisa wa mdau akielezea alivyotapeliwa na huyu jamaa.
Kila Mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake.Huwezi kutoa mil 2 Tsha kununua simu wewe