Huyu ndiye tapeli wa mtandao wa "KUPATANA"

Huyu ndiye tapeli wa mtandao wa "KUPATANA"

Mtandao wa Kupatana.com hauna makosa. Unaunganisha mnunuzi na muuzaji. Mnunuzi tahadhali kabla ya hatari
Ni kweli mkuu kuna mdau hapo juu anawalaumu kupatana. wakati kupatana wenyewe wamekwambia kabisa usitoe pesa kabla ya kuona mali. wanaotapeliwa wengi ni wale wenye tamaa za kijinga. binafsi nimenunua vitu vingi sana kupatana. KUTAPELIWA NI UJINGA WAKO.
 
Kiki gani sasa what is 1200 USD ?
Ukitaka kuelewana na watu wa JF waambie ulinunua kitochi cha 25,000!

Mtu anafikiri kwasababu yeye hawezi basi kila mtu hawezi. Hio simu kuna binti alinipa hela nikamletea equivalent to tzs 2,600,000! Cover yake ilicost tzs 150,000.
 
I phone 7 laki 5?wakati mimi nimenunua USD 1200
Bageshi. $1,200? Ni gold plated? Niko huku Seattle. Sema nikuletee kwa $ 580 brand new original kabisa...

Walema gete ugunicholela ganike gasoga gajisukuma natole nkoyi? Ulinang'holo ya bubi bageshi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bageshi. $1,200? Ni gold plated? Niko huku Seattle. Sema nikuletee kwa $ 580 brand new original kabisa...

Walema gete ugunicholela ganike gasoga gajisukuma natole nkoyi? Ulinang'holo ya bubi bageshi [emoji23][emoji23][emoji23]
Chuu! B'heb'he nkoi,olewaahe'obe?
 
Sasa hivi anajiita naseb, angalia usiingizwe chaka na huyu jamaa
 
Kwanini KUPATANA haiwahadharishi wateja wake na kuweka utaratibu ambao utawalenda wateja wake. Hawaoni kama wanajiharibia?
 
Sasa waliotapeliwa ni akina nani? Wajitokeze hapa to pruvu kama ni kweli
 
Yaaap hilo tangazo LA hiyo flat screen nililiona nilishangaa kuona inauzwa cheap kiasi hicho nilipo mtafuta nikaona anakomaa nimtumie Pesa nikashtuka kusoma ujumbe pale chini
 
Jamaa amekuja na mbinu mpya ya utapel na ninaweza sema kuna namna Fulani analindwa na kampuni za simu kwani juzi kanipigia simu kwa nmba hii na jamaa kaja na gia ya Kali sana aisee hizi namba mbili ziogopeni 0652886273 ndio namba yake
 
Aliwaliza na anaendelea kuwaliza wengi, anachofanya anaweka vitu vya thamani kubwa kwa bei rahisi huku akisema tuma pesa sababu mzigo wengi wanauulizia sasa wabongo wanavyopenda mteremko wanajaa,ukishatuma tu imekula kwako, anajitambulisha kwa majina mbali mbali kama Abdul, Omary huku akisema yeye yupo Iringa.

I
84d21e48dcc933290c55e4bc5d8312a5.jpg

Hivi ndugu zangu kweli LG 55" iuzwe laki mbili tena pamoja na home theatre?
Chini ni moja ya bidhaa zake za "kutapelia".
839ec99729ade3f862b3950cdfa77d33.jpg
bedfcdf1ab52624b1b95ffb0733b2e4f.jpg
Aiseee....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom