Huyu ndiye tapeli wa mtandao wa "KUPATANA"

Huyu ndiye tapeli wa mtandao wa "KUPATANA"

Aliwaliza na anaendelea kuwaliza wengi, anachofanya anaweka vitu vya thamani kubwa kwa bei rahisi huku akisema tuma pesa sababu mzigo wengi wanauulizia sasa wabongo wanavyopenda mteremko wanajaa,ukishatuma tu imekula kwako, anajitambulisha kwa majina mbali mbali kama Abdul, Omary huku akisema yeye yupo Iringa.

I
84d21e48dcc933290c55e4bc5d8312a5.jpg

Hivi ndugu zangu kweli LG 55" iuzwe laki mbili tena pamoja na home theatre?
Chini ni moja ya bidhaa zake za "kutapelia".
839ec99729ade3f862b3950cdfa77d33.jpg
bedfcdf1ab52624b1b95ffb0733b2e4f.jpg
Mtu anayetuma pesa pasi kuona mzigo huyo ni mjinga yeye mwenyewe
 
Vipi sikuhizi bado ni tapeli maana huu mtandao bado upo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom