chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 7,581
- 15,722
Si ngeni sana kwa watumiaji wa barua pepe kupata taarifa binafsi. Unaweza kuona dunia na mambo yake ya ajabu sana, kama ulishawahi kukutana na barua pepe ya mtoto wa mfalme wa Nigeria ambaye akiomba msaada wa kusaidiwa huku akikwambia mamilioni yake yapo kwenye benk flani na kuweza kusaidiana ili afike wewe ulipo kutoka kwenye hifadhi ya wakimbizi.
Tapeli huyo amekamatwa nchini Marekani huko Louisiana ambaye ni mzee mwenye miaka 67 kwa jina Michael Neu. Ameweza kuiba au kutapeli kwa njia kulagai watu karibu nchi 269.
Tapeli huyo amekamatwa nchini Marekani huko Louisiana ambaye ni mzee mwenye miaka 67 kwa jina Michael Neu. Ameweza kuiba au kutapeli kwa njia kulagai watu karibu nchi 269.