Huyu ndiye tapeli mzee kwenye mtandao wa barua pepe

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,722
Si ngeni sana kwa watumiaji wa barua pepe kupata taarifa binafsi. Unaweza kuona dunia na mambo yake ya ajabu sana, kama ulishawahi kukutana na barua pepe ya mtoto wa mfalme wa Nigeria ambaye akiomba msaada wa kusaidiwa huku akikwambia mamilioni yake yapo kwenye benk flani na kuweza kusaidiana ili afike wewe ulipo kutoka kwenye hifadhi ya wakimbizi.

Tapeli huyo amekamatwa nchini Marekani huko Louisiana ambaye ni mzee mwenye miaka 67 kwa jina Michael Neu. Ameweza kuiba au kutapeli kwa njia kulagai watu karibu nchi 269.
d7ae4d536f2dc67b2e210f0f90550f2e.jpg
 
si wageni sana kwa watumiaji wa barua pepe kupata taarifa binafsi.unaweza kuona dunia na mambo yake ya ajabu sana,kama ulishawahi kukutana na barua pepe ya mtoto wa mfalme wa nageria ambaye akiomba msaada wa kusaidiwa huku hakikwambia mamilioni yake yapo kwenye benk flani na kuweza kusaidiana ili afike wewe ulipo kutoka kwenye ifadhi ya wakimbizi.tapeli huyo amekamatwa nchini marekani huko Louisiana ambaye ni mzee mwenye miaka 67 kwa jina Michael Neu.ameweza kuiba au kutapeli kwa njia kulagai watu karibu nchi 269.
d7ae4d536f2dc67b2e210f0f90550f2e.jpg

Hivi duniani kuna nchi 267???? Ninawasiwasi na taarifa yako...

Kama zipo naombeni list nami nzijue huenda mie ndiyo mshamba.
 
a60272ead7cff53830e26fb7bfa05da1.jpg
 
Huyu jamaa alienda hadi nchi za mars, Venus, hadi na mwezini au ni hapahapa duniani?
 
Duh ! Nilishawahi kukutana na email ya namna hii .Bahati nzuri nilishtuka na nikauliza aseee nilimpoteza na email nikaiacha mazima nikafungua ingine ! Kuna watu ni agents wa shetani kabisa!!
 
Kuna jamaa mwaka 1999 alitapeliwa huku namwona na akaenda kuweka hela kabisa.
 
Hivi duniani kuna nchi 267???? Ninawasiwasi na taarifa yako...

Kama zipo naombeni list nami nzijue huenda mie ndiyo mshamba.
Inaezekana na zanzibar ipo kwenye list ndio maana nchi zimeongezeka.
au zanzibar sio nchi??
 
Back
Top Bottom