mirajin
JF-Expert Member
- May 16, 2017
- 246
- 141
Maneno makali hayaHajui halafu anajua kama anajuwa huoyo ni MJINGA
Anayejua halafu hajui kama anajuwa huyoo ni MJUZI
We ndo huna unachokijua unatetea ujingaKaa kimya huna unachokijua
Akili za nyumbu pekee ndio zinaweza kuamini igizo hilo.
Tukio litokee ijumaa,malalamiko yatolewe j'3. Alievamiwa amtembelee mvamiaji j'mosi akae kwake hadi SAA 4 usiku wakipiga story wakati ni usiku tu uliopita alimvamia. Kisha j'tatu mvamiwa apewe muda wa kupumzika eti kachanganyikiwa.
Hapo wataamini igizo hilo manyumbu pekee. Ruge anabusara kunyamaza kwani angezidi kujiaibisha
Ruge yuko vzr hajamtusi huyo jamaa pamoja nakukejiliwaMnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Hata kama kwa ubinadamu wetu tutatashindwa kusimama na huyu ndugu hususan kwa kipindi hiki yupo Mungu aliye hai atamtetea.
Ndio, Hakuna binadamu asiye na mapungufu, Ruge kama binadamu inawezekana ana mapungufu yake lakini katika hili suala la Clouds Vs "Yule Bwana" kwa binadamu mwenye akili za kawaida tu utakubaliana nami kwamba Ruge ameonyesha hekima na busara ya kiasi cha juu sana.
Alichoamua Kukisimamia Ruge ni kusema UKWELI, Ukweli kwamba "Yule Bwana" alikosea, pamoja na kwamba walikuwa marafiki lakini Ruge aliamua kusimama katika misingi ya ukweli, misingi ya kikazi, Kwamba "Yule bwana" alikosea. Kuna vitu wala havihitaji degree kuvielewa, yaani kule tu kwenda pale tena usiku tena na silaha bila mhusika kujua, na bila warrant ni kosa kisheria.
Leo baada ya kumsikia Ruge akijibu shutuma za "Yule Bwana" nimejisikia amani sana, Maana badalaa ya kujibu kwa jaziba, kwa matusi, kwa mhemko, Ruge kajishusha kaongea kwa ustaarabu kama binadamu, Pamoja na kuambiwa hana akili, anaimba ngonjera, na maneno mengine mengi ya kuudhi lakini jamaa kajibu ki proffesional na kwa unyenyekevu. U have my respect brother.
Mi nafikiri kama taifa kama tunakuwa na viongozi wa namna hii, ambao wanashindwa kuwa na akiba ya maneno na kuongea tu kama vijana wa mtaani bila kuangalia kuwa kuna watu wengi sana tunawaangalia ili kujifunza kwao, tutakuwa tunaelekea pabaya sana.
Yale maelezo ya "Yule Bwana" ni ya kijinga sana. Kwa wadhifa ule alionao, nadhani yeye ni wa kwanza Tanzania kufanya ujinga aliouelezea. Inawezekanaje kufanyia kazi zàke kwenye ofisi za mtu mwingine? Unaweka computer yako kwenye ofisi ya "marafiki" zako wakati unayo ya kwako? Tena ambayo hugharimii chochote? Unaenda kufanyia kazi zako kwenye ofisi ya mtu mwingine usiku wa manane? Halafu anatamkà kirahisi tu kwamba wale marafiki zangu, kweli? Mtumishi wa uma? Halafu kwa kukosa aibu, anasema Ruge ni mwongo, tapeli...., kweli?
Halafu tunajifaragua hapa eti nchi itapata maendeleo!!!!!
Itabidi tusameheane tuu, kapu hili la ujinga hatuwezi kuingia wote¡¡¡¡¡¡¡!!!!!¡!!!!!!!!!!!!!
Ruge ni mnafiki Mkuu, alipokubali kutumikia magwiji wa Dawa za kulevya kwa kusingizia kituo chake kimevamiwa.
Kushindwa kuthibitsha tukio hilo, au kufungua jalada polisi
And also, use your brain man!!!! Hawa walikuwa "marafiki" (kwa mujibu wa maelezo ya Makonda). Clip iliyozua jambo Ruge alizuia kwa sàbabu za taaluma. Kuchukua hatua za kuripoti polisi, na hata kumshitaki wakati ni marafiki lisingekuwa jambo jema. Lakini, kwa nini Makonda hakuita vyombo vya habari jumapili au jumatatu na kueleza kile alichoeleza leo?Please use your brain, awali clip inaanza kutembea kwenye mitandao ya kijamii, na maelezo ya kuwa mkuu wa mkoa amevamia kituo cha runinga, hakuna aliekuwa anajua, wala aliewaomba waonyeshe, pili kwa uwelewa wako kama kungekuwa na clip nyingine Makonda na askari wake, wakiwapiga wafanyakazi na vitako vya bunduki unadhani clouds wasingeionyesha? think twice brother!
jingine je kuna file yoyote imefunguliwa na clouds ya kumshtaki mkuu wa mkoa kavamia kituo cha runinga?
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Hata kama kwa ubinadamu wetu tutatashindwa kusimama na huyu ndugu hususan kwa kipindi hiki yupo Mungu aliye hai atamtetea.
Ndio, Hakuna binadamu asiye na mapungufu, Ruge kama binadamu inawezekana ana mapungufu yake lakini katika hili suala la Clouds Vs "Yule Bwana" kwa binadamu mwenye akili za kawaida tu utakubaliana nami kwamba Ruge ameonyesha hekima na busara ya kiasi cha juu sana.
Alichoamua Kukisimamia Ruge ni kusema UKWELI, Ukweli kwamba "Yule Bwana" alikosea, pamoja na kwamba walikuwa marafiki lakini Ruge aliamua kusimama katika misingi ya ukweli, misingi ya kikazi, Kwamba "Yule bwana" alikosea. Kuna vitu wala havihitaji degree kuvielewa, yaani kule tu kwenda pale tena usiku tena na silaha bila mhusika kujua, na bila warrant ni kosa kisheria.
Leo baada ya kumsikia Ruge akijibu shutuma za "Yule Bwana" nimejisikia amani sana, Maana badalaa ya kujibu kwa jaziba, kwa matusi, kwa mhemko, Ruge kajishusha kaongea kwa ustaarabu kama binadamu, Pamoja na kuambiwa hana akili, anaimba ngonjera, na maneno mengine mengi ya kuudhi lakini jamaa kajibu ki proffesional na kwa unyenyekevu. U have my respect brother.
Mi nafikiri kama taifa kama tunakuwa na viongozi wa namna hii, ambao wanashindwa kuwa na akiba ya maneno na kuongea tu kama vijana wa mtaani bila kuangalia kuwa kuna watu wengi sana tunawaangalia ili kujifunza kwao, tutakuwa tunaelekea pabaya sana.
Kweli bashite kawbashite kweeeli, siamini km hizi zinazoongea hivi nazo ni akili.
Watumishi wa Bashite tusiwashangae kwa majibu haya, km mliweza kumshauri bashite aende kwenye interview star TV na Maelezo Yale!!! Basi tutakuwa tunakosea sana tukiwashangaa kwa comment zenu.
Mm niseme bashite amejiaibisha, amejidhalilisha, amejitukanisha mbele ya macho ya watz, bora Mara mia angeendelea kupiga kimya lkn si kwa kujishusha thani to that extent.
"Mwisho wa ubaya Aibu"......."Muosha huoshwa"......"Mnafiki hana rafiki"Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Hata kama kwa ubinadamu wetu tutatashindwa kusimama na huyu ndugu hususan kwa kipindi hiki yupo Mungu aliye hai atamtetea.
Ndio, Hakuna binadamu asiye na mapungufu, Ruge kama binadamu inawezekana ana mapungufu yake lakini katika hili suala la Clouds Vs "Yule Bwana" kwa binadamu mwenye akili za kawaida tu utakubaliana nami kwamba Ruge ameonyesha hekima na busara ya kiasi cha juu sana.
Alichoamua Kukisimamia Ruge ni kusema UKWELI, Ukweli kwamba "Yule Bwana" alikosea, pamoja na kwamba walikuwa marafiki lakini Ruge aliamua kusimama katika misingi ya ukweli, misingi ya kikazi, Kwamba "Yule bwana" alikosea. Kuna vitu wala havihitaji degree kuvielewa, yaani kule tu kwenda pale tena usiku tena na silaha bila mhusika kujua, na bila warrant ni kosa kisheria.
Leo baada ya kumsikia Ruge akijibu shutuma za "Yule Bwana" nimejisikia amani sana, Maana badalaa ya kujibu kwa jaziba, kwa matusi, kwa mhemko, Ruge kajishusha kaongea kwa ustaarabu kama binadamu, Pamoja na kuambiwa hana akili, anaimba ngonjera, na maneno mengine mengi ya kuudhi lakini jamaa kajibu ki proffesional na kwa unyenyekevu. U have my respect brother.
Mi nafikiri kama taifa kama tunakuwa na viongozi wa namna hii, ambao wanashindwa kuwa na akiba ya maneno na kuongea tu kama vijana wa mtaani bila kuangalia kuwa kuna watu wengi sana tunawaangalia ili kujifunza kwao, tutakuwa tunaelekea pabaya sana.
Tena aliyekujia hivyo kwenye suala la kiofisi!!Akili za panyabuku pekee ndo zinaweza kukufanya uende chemba ukaongee na mtu aliyekujia kwa shari na mitutu ya bunduki.
Yeye na wenzake ndiyo uwezo wao huo.Kweli bashite kawbashite kweeeli, siamini km hizi zinazoongea hivi nazo ni akili.
Watumishi wa Bashite tusiwashangae kwa majibu haya, km mliweza kumshauri bashite aende kwenye interview star TV na Maelezo Yale!!! Basi tutakuwa tunakosea sana tukiwashangaa kwa comment zenu.
Mm niseme bashite amejiaibisha, amejidhalilisha, amejitukanisha mbele ya macho ya watz, bora Mara mia angeendelea kupiga kimya lkn si kwa kujishusha thani to that extent.
Ingekuwa hivyo, kwa busara zake hizo angeenda kukutana nao, akawwambia kuitika kwake wito, ila tume yao haina uwezo wa kumhoji na hivyo waondoke tu. Hilo lilikuwa na ugumu gani?Mambo mengi sijamuelewa RC ila hili la tume linaukakasi mwingi sana.
Tukio lilikua la uhalifu, utekaji/uvamizi sasa wahariri na akina Balile sijui walienda kuangalia news au kujua juu ya utekaji/uvamizi kwa taaluma yao nafikiri hawakuwa watu sahihi.
Tume isio sahihi haiwezi kukuhoji na ukakubali tume isiyo na uhalali ikuhoji utakua punguani.
Duh! Ama kweli. Jalada lipi hilo na polisi wapo kwenye upelelezi?Ruge ni mnafiki Mkuu, alipokubali kutumikia magwiji wa Dawa za kulevya kwa kusingizia kituo chake kimevamiwa.
Kushindwa kuthibitsha tukio hilo, au kufungua jalada polisi
Bashite naye hakufungua file la defamationRuge ni mnafiki Mkuu, alipokubali kutumikia magwiji wa Dawa za kulevya kwa kusingizia kituo chake kimevamiwa.