Mzee wa Posho
Senior Member
- Jul 14, 2011
- 160
- 13
Huyo namba 4 ana Phd ya Kanisani hatutaki Udini hapa! Hatuchagui Padre hapa aende kugombea Cheo cha Kadinal Pengo atashinda kwani alisha wahi kuwa Padre
Lowass ana nafasi kubwa. amejiandaa tangia mwaka 1995
Hivi ni kweli kuwa baba yako mzazi anaugomvi mkubwa na huyo jamaa na anahisi kuwa wewe sio "biological offspring" wake?Mshauri dingi wako aache hasira aende na wewe mkacheck DNA ugomvi utaisha.Wengine wote wana hadhi ya kuwa raisi isipokuwa huyo mwizi wa mke wa mtu. Anahamasisha vurugu pia ni mdini.
Baada ya kuuza nyumba za serikali, sasa atauza barabara, viwanja vya ndege na ofisi zote za serikali. Nawasihi sana msije mkathubutu hata kutaja jina lake maana balaa litatuandama milele.Magufuli ni jembe la kutosha Kuongoza Tanzania 2015-2025!
Mzee wa posho unachekesha kweli, kwani hujui Mkandara na Mwenzie Kabudi waliamua kutoa rushwa ya PhD kwa mkware wa nchi wakidhani atawakumbuka katika ufalme wa ikulu? Na yeye akaipokea kwa kejeli kubwa, ati atakugawia wewe mjinga wake na wajinga wenzenu mliompigia kura.Hahahahhahaha nimeipenda hii! Hivi kweli Dr Slaa Phd yake ni kanisani nasikia alikua Padre? Wadau naomba msaada kwa anaejua Phd ya Slaa ni ya nini? Au ya Church kimtindo?
Ni swali lililoulizwa na idhaa ya kiswahili ya radio ujerumani leo,, lilihusisha viongozi 5 wa vyama vya siasa,
NI NANI ATAKUWA RAIS 2015 KATI YA HAWA:?
1. BERNAD MEMBE
2. EDWARD ROWASA
3. PM PINDA
4. DR SLAA
5. PROF. LIPUMBA
Mkuu, unachoshangaa nini? Huyu jamaa mbona kabla ya kuwa rais wa nchi jirani alikuwa makamu wa rais wa nchi nyingine? Nadhani katika sera za "changu chetu", "chako chako" linawezekana kabisa.
Hapo slaa atakuwa kichekesho aisee..
Atatupwa mbali kwa aibu..
Mkuu naomba unisaidie tu; hivi Dr. Slaa zaidi ya kuwa mbunge na katibu mkuu waCDM ana historia gani nyingine ya uongozi ukimlinganisha na Dr. Shein.Good anaylsis on my side...is true I appreciate the works of Dr Shein he is good but,not good as Dr Slaa.......
Mhadarati hebu jitahidi kuwa positive thinker zaidi!Hamna wa maana hapo, kweli tz imefilisika kiuongozi. Tz baada ya Nyerere haijwahi kua na Rais kiongozi wa kweli mwenye dira..wote wanakuja wanafanya madudu yao maka 10 inaisha wanastaafu na kuendelea kutusumbua na ving'ora vyao mjini hapa
tumefilisika kisiasa na kiuongozi hadi tunafikiriaviongozi mafisadi,(EL), viongozi boya, (Pinda), viongozi bora liende,(BM), viongozi siasa ni mtaji (Lipumba), viongozi wa kinadharia ili nipate, (slaa ambaye alidanganya pale mzumbe kua watapunguza bei ya simenti wakati haiwezekani bila kuondoa kodi na uongo mwingine kama huu)
Tumefilisika
Acha uXXXXng mimi siyo dada..ni mwanaume wenye wake wawili watoto 7..
Mkuu naomba unisaidie tu; hivi Dr. Slaa zaidi ya kuwa mbunge na katibu mkuu waCDM ana historia gani nyingine ya uongozi ukimlinganisha na Dr. Shein.
Kushika Nyadhifa kubwa kubwa serikalini siyo kigezo cha kuangali anayefaa kuwa rais nafikiri utendaji wa mtu na uadilifu wake.
Ingefaa kutomhukumu mtu kwa Elimu yake, wala dini yake, wala mke alieoa (Kama wewe siyo mume halali wa huyo mke!), la sivyo unakuwa na umbea! Huisaidii nchi yako!Huyo namba 4 ana Phd ya Kanisani hatutaki Udini hapa! Hatuchagui Padre hapa aende kugombea Cheo cha Kadinal Pengo atashinda kwani alisha wahi kuwa Padre
Ili uza serikali na sio Magufuli yeye alikua waziri tu maamuzi yote yalifanywa na baraza la Mawaziri! Hamna ujanja huyo ndie atakae wakimbiza na Magwanda yenu!Baada ya kuuza nyumba za serikali, sasa atauza barabara, viwanja vya ndege na ofisi zote za serikali. Nawasihi sana msije mkathubutu hata kutaja jina lake maana balaa litatuandama milele.