min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 60,539
- 175,265
Sisi wachina tunakula nyama ya nyokaIt's not always the case, muda mwingine mti unapigwa mawe kwa sababu una nyoka
Sisi wachina tunakula nyama ya nyokaIt's not always the case, muda mwingine mti unapigwa mawe kwa sababu una nyoka
Ninyi sio binadamu kwa kweliSisi wachina tunakula nyama ya nyoka
Hivi wenzetu wameumbwaje jamani? Huwezinkusikia takataka za Afrika zinajiuzulu kwa kuwajibika, ona hili takataka pamoja na kufanya ugoro bado limeng'ang'ania ofisini!The Rt Hon Sir Keir Starmer, congratulations on recognizing that being a devoted husband and father is a man’s highest calling.
Babu sisi sio wazungu, ni waume bora Kwa wake zetu hata kama tusipoacha kazi, kwanza hawataki kutuona siku nzima nyumbani 😂😂😂Nimeipenda sana kauli yake.
Wakati anatangaza kujiuzulu Uwaziri Mkuu, amesema anaenda kufanya kazi muhimu zaidi:
"Kuwa mume bora kwa mke wangu mzuri... na kuwa baba bora zaidi kwa watoto wangu wazuri...,"
Wewe vipi, una mawazo au nia kama hiyo kwa mke wako na watoto wako?. Kama unawaza kumwacha mke wako au kumkomoa basi kubali tu hustahili kuitwa mwanaume bora au mume bora. Na pia kama unapanga kuwa na mahusiano na wanawake wengi, tambua kuwa utazaa watoto wengi watakaokosa malezi ya baba, na kwa sababu hiyo pia hustahili kuitwa baba bora.
The Rt Hon Sir Keir Starmer, congratulations on recognizing that being a devoted husband and father is a man’s highest calling.
Your decision is a powerful reminder that true greatness begins at home.
You have set an inspiring example for men everywhere.
Hakika, hayanaga miongozo...
Mkuu we kaa tu muangaliane ukimaliza mwezi utakuwa na matatizo ya akiliKama hataki kukuona siku nzima nyumbani, hiyo tayari ni bendera nyekundu kuwa bado hujawa bora kwa mkeo
takataka haswa tena lilivyo na mdomo mchafu!!!!!Hivi wenzetu wameumbwaje jamani? Huwezinkusikia takataka za Afrika zinajiuzulu kwa kuwajibika, ona hili takataka pamoja na kufanya ugoro bado limeng'ang'ania ofisini!