huyu ndiye mshindi wa miss chitchat

huyu ndiye mshindi wa miss chitchat

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2011
Posts
3,402
Reaction score
944
Kwa mujibu wa kura nachukua nafasi hii kutanganza matokeo ya kinyanganyiro cha miss chitchat mwezi augost kama ifuatayo;[Hivyo basi nachukua nafasi hii kumtangaza rasmi miss cacico kuwa miss chitchat
Nawasilisha
 
Last edited by a moderator:
Congra the winer lady Cacico!
Sasa hapa Babu huo m'bichwa !! Si ataubeba kwa crane ?
Nazipokea hongera za my wife cacico kwa niaba yake. Si mnaona navyojua kuchagua? Mbichwa haki yangu bana!

Afu hebu dekshia, pamoja na kuwaomba waendeshaji waniondolee Kongosho asali ya ODM kwenye hili shindano la chipukizi lakini bado kakamata namba mbili........... Angekuwa bado na bikira yake si ingekuwa balaa?
 
Last edited by a moderator:
Hivi mashindano yalikuwa yanaendelea!! Hongera cacico, ulistahili. Mume wa cacico Asprin tunaomba mwongozo wa sherehe ya kumpongeza mai waif wako.
 
Last edited by a moderator:
Kwa mujibu wa kura nachukua nafasi hii kutanganza matokeo ya kinyanganyiro cha miss chitchat mwezi augost kama ifuatayo;[Hivyo basi nachukua nafasi hii kumtangaza rasmi miss cacico kuwa miss chitchat
Nawasilisha

halafu hiyo kura moja umenipendelea eeh! Maana sijaona mahali nimepigiwa kura. Nakata rufaa.
 
Last edited by a moderator:
Kwa mujibu wa kura nachukua nafasi hii kutanganza matokeo ya kinyanganyiro cha miss chitchat mwezi augost kama ifuatayo;[Hivyo basi nachukua nafasi hii kumtangaza rasmi miss cacico kuwa miss chitchat
Nawasilisha

hureeeeee! Bibi kashindaaaaaaa! Hongera bibi yanguuuu!
 
Last edited by a moderator:
hureeeeee! Bibi kashindaaaaaaa! Hongera bibi yanguuuu!
jamani ahsanteje sasa?? jumatatu mida ya jioni nitapita majukwaa yote na kivazi cha ufukweni tu! jiandaeni, lol!
 
Back
Top Bottom