huyu ndiye mshindi wa miss chitchat

Nazipokea hongera za my wife cacico kwa niaba yake. Si mnaona navyojua kuchagua? Mbichwa haki yangu bana!

Afu hebu dekshia, pamoja na kuwaomba waendeshaji waniondolee Kongosho asali ya ODM kwenye hili shindano la chipukizi lakini bado kakamata namba mbili........... Angekuwa bado na bikira yake si ingekuwa balaa?
hubby u r the bestest! i luv u mo!
 
Kwa mujibu wa kura nachukua nafasi hii kutanganza matokeo ya kinyanganyiro cha miss chitchat mwezi augost kama ifuatayo;[Hivyo basi nachukua nafasi hii kumtangaza rasmi miss cacico kuwa miss chitchat
Nawasilisha

Umeamua kumnanga YoungMaster kuwa alitupa lulu!?? we haya we!
 
Last edited by a moderator:
kumbe simu ulonipigia leo n kutaka nione jinsi ulivyo nyakua ushindii shostito wangu???? hongera jamani mwaaaaah!
 
,mdada wangu wa moyoni gfsonwin kwani nimemuona basiiiiii?? nammiss sana, msalimie wallah! nipo shemeji thanx loads, lol!

bibie kimya shhshshshshs! si unajua sasa hivi niko nalea ndoa?

nilinunua chetezo na shanga mpya, na uturi wa kiabeshi lol! ngoja kwanza nikupe stori udi wa oman wallah ni kiboko si chumba tu bali hata bafuni na kabatini kunanukia. nimekaza buti mwali acha tu.
 
hivi gfsonwin spika alienda wapi? au bado analea mzazi?

dah! umenikumbusha huyu mtu lol! sijui yuko wapi bana mara ya mwisho alikuwa nale mzazi ila pia alisema anakwenda ukweni kwa bi mdogo sijui ndo aklikwenda kuoa b4 mfungo ama vipi sijui.
 
Back
Top Bottom