tatizo la wahamiaji kuongoza nchi tunamalizwa kama russia huyu jamaa hana mipango makini wala hana huruma na mtanzania
Wana JF mmemsikia waziri mchovu wa fedha Tz anasema eti pesa yetu inaposhuka thamani eti serikali yao haina la kufanya kwa sababu ya uchumi huria,kweli ni timamu huyu? Wachumi wenzangu tusaidiane kumuelimisha huyu
Yuko sahihi na si kulaumiwa kwa matamshi yake bali Serikali na policy zake za privatization with free market economy.Iwapo katika sera ya soko huria Serikali haikuweka exclusive clause ya Government intervention pale uhuria wa soko unapo athiri watu wake basi hapa maneno ya Mkullo yana prevail.
Nchi makini haiwezi kuruhusu soko huria kutawala uchumi wake na wananchi wake.Hapa kuna njia kuu mbili za kuiwezesha Serikali kumiliki uchumi wake nazo ni ''fiscal policy'' na ''monetary policy'' vyote hivi vinaweza kufanya kazi pindi ''pump priming policy'' imekuwa imposed in good manner.
Watendaji kazi wetu kwa sasa hasa TRA,Wizara ya Fedha na BOT wametupa mbali taaluma zao,wengi wako katika utafutaji wa kujinufaisha kwa kujilimbikizia vipato,hawa ni wapenda safari za nje kwa kigezo cha kujifunza kumbe ni njia ya kufanya biashara zao binafsi na si shule.
Ukweli wa haya yote ni shida zinazoendelea kutukumba huku tukijidai kuwa tunawasomi.Shule usipoiendeleza ni sawa na kutokuwa na shule.
Mkulo and the whole cabinet are failures.
Wana JF mmemsikia waziri mchovu wa fedha Tz anasema eti pesa yetu inaposhuka thamani eti serikali yao haina la kufanya kwa sababu ya uchumi huria,kweli ni timamu huyu? Wachumi wenzangu tusaidiane kumuelimisha huyu
Duh Mkuu Sofi Simba Yupo Kundi Lipi?Nimewai kupanga hapa JF orodha ya mawaziri vilaza....na waliowai kutoa kauli tata Mkullo is among the best(TOP 5)Hawa ni kati ya mawaziri wanaoingia katika kitabu cha viongozi vilaza,never ever seen in this country since independence....
- M.Mkulo
- Ngeleja
- Kawambwa
- Mkuchika
- Ghasia
- Wasira
- Lukuvi
Mkuu nichukue nafasi hii kukushukuru kwa bonge la analysis.you deserve to be a great thinker kupitia huu mchango wako. si wengine wanachangia pumba tu. Thanx again.Awamu ya nne ilipoingia madarakani ilikuta large amount of foreign reserves. Na hii ilitokana na exports, walichokifanya wakaanza kutumia kwa safari za nje na ku-release reserve to local market ili kustabilizing exchange rates bila ya kuwa strong exports ku-replace them. matokeo yake mafisadi waliokuwa na mabilioni ya hela za madafu wamezinunua na kuzihamishia kwenye offshore accounts zao. Nchi imebakia na deficit ya forex while demand is high(to sustain imports, e.g oil etc) what do you expect?, the price of forex going up.
Hapa ni mchanganyiko wa yote, poor economy due to the lack or decrease of exports while import we have increase in import(which needs forex) and poor monetary policies. walipoingiamadarakani wakaona kama vile "John Silver" and treasury island, wakajua hazitaisha, mara mikataba ya umeme wadharura kwa washikaji yote inalipwa by USD, yaani Group la Mtandao liliingia madarakani kwa style ya "Locusts" Nzige wakaanza kutafuna mazao huku wakijisaidia mpaka shamba sasa limebaki jeupe, wanaoathirika ni ordinary citizens.
Tanzania tuna dhahabu na madini ya kila aina, kwa mikataba mibovu, ni kwamba kinachofanyika ni mavuno yasiyokuwa na faida kwa nchi, tungekuwa na policy ya mauzo yote ya madini nje pesa zake lazima zirudi Tanzania as forex na kuhifadhiwa kwenye mabank ya nyumbani, tatizo hili lisingekuwepo Shilingi ingekuwa stable, ila wanauza na pesa inabakia hukohuko walipouza nchi ya ajabu kabisa hii.
WanaJF, hivi mnajua elimu ya Mkullo?? Hakufaa kabiisa kuwa waziri wa fedha. Hajui alisemalo
mkuu huko BOT wamejaa watoto wa vigogo tu. shule au umakini si kigezo kabisa. wewe jaribu kudodosa utaona nia akina nani wapo pale. utasikia .....sumaye, .......lowasa, .......kawawa, ........mkapa, ........luhanjo. we fuatilia utajua tu ninachomaanisha.Kama BOT ingekuwa na watu makini a substantial amount of our reserves would be in Gold ; ambayo sasa hivi bei yake inapaa kwenye soko la dunia hivyo basi ingekuwa rahisi kuitumia dhahabu hiyo kustabilize shillingi yetu!!
...Duh! Kweli huyu jamaa sio mwenzetu eh?? Niliwahi kusikia kuna mtu anawajua vizuri hata mababu na mabibi zake ikasemekana anatoka pale jirani ziwani?tatizo la wahamiaji kuongoza nchi tunamalizwa kama RUSSIA huyu jamaa hana mipango makini wala hana huruma na mtanzania
Tanzania matatizo sugu ambalo ni udini ambalo limetuletea
3. Udhibiti wa uraia
nchi ambayo haijui nani ni raia au siyo raia wake haiwezi kuendelea hata kidogo, maendeleo huja kwa kazi ngumu na unchungu wa wananchi kuziendeleza na kusimamia raslimali zao. wasimamizi wa raslimali zetu wanatajwa kuwa wamalawi, wasomali, wacongo, wanyarwanda, warundi nk nk huku wamiliki wa biashara kubwa kubwa ni wahindi na waarabu. To be honest tanzania ni nchi pekee duniani ambako watu ambao siyo raia wanamiliki uchumi wa nchi na ni viongozi wa ngazi za juu serkalini. Hii hali inachangiwa sana na udini maana, mmatumbi anamwona mpakistani kuwa ndugu yake wa karibu zaidi kuliko mmatumbi wenzie anaetofautiana nae kiimani.
<br />Wana JF mmemsikia waziri mchovu wa fedha Tz anasema eti pesa yetu inaposhuka thamani eti serikali yao haina la kufanya kwa sababu ya uchumi huria,kweli ni timamu huyu? Wachumi wenzangu tusaidiane kumuelimisha huyu