Huyu ndiye Mbwiga wa Mbwiguke

Huyu ndiye Mbwiga wa Mbwiguke

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,738
Reaction score
42,828
Naitwa mbwiga mbwiguke
mkole wa nyani kibwaya
mkia uzee wa simba si ujana
wa fisi, unga robo chenji
irudi mtu mwenye maneno
mengi muongo muongo,
kisheti yaani fundi wa
mpira mjanja mjanja
ukiutaka nakupa kama
sitaki nakufanyia ubahili
napiga nje ya 18,mabeki
wakizubaa nawafanya
kama mahindi machanga
sitemi kitu natafuna
gugudugugudu..............
( shoto mwenye jezi ya
azam )
 

Attachments

  • Mbwiga.JPG
    Mbwiga.JPG
    4.6 KB · Views: 929
Naitwa mbwiga mbwiguke
mkole wa nyani kibwaya
mkia uzee wa simba si ujana
wa fisi, unga robo chenji
irudi mtu mwenye maneno
mengi muongo muongo,
kisheti yaani fundi wa
mpira mjanja mjanja
ukiutaka nakupa kama
sitaki nakufanyia ubahili
napiga nje ya 18,mabeki
wakizubaa nawafanya
kama mahindi machanga
sitemi kitu natafuna
gugudugugudu..............
( shoto mwenye jezi ya
azam )

Ndio watz tunachoweza, komedi na si analysis za maana za mpira. Kwa mwendo huu komedi kuanzia maredioni, uongozi wa tff hadi komedi viwanjani tutaendelea kuwa vibonde wa soka.
 
Ni nani na kwanini ni mbwiga? tuwe magreat thinker wa ukweli maana kwa mtu anayefikiria hawezi kupost bila kutoa maelezo yanayojitoleza, yaani hapo ulichofanya ni kama kuandika ktk album yako ambayo wewe pekee ndiye unayejua kwanini uliamua kuandika vile.
 
Hamjui kusoma jamani?si mmeambiwa huyo hapo mwenye jezi ya Azam!!!Huyo kumsikia vituko vyake sikiliza Clouds Fm michezo saa 3 usiku mpaka saa 4 ,sasa pale mwishoni ndio huwa anaachiwa achekeshe!Sikiliza kuanzia saa 4 kasorobo hivii.Belivdat
 
naitwa mbwiga mbwiguke
mkole wa nyani kibwaya
mkia uzee wa simba si ujana
wa fisi, unga robo chenji
irudi mtu mwenye maneno
mengi muongo muongo,
kisheti yaani fundi wa
mpira mjanja mjanja
ukiutaka nakupa kama
sitaki nakufanyia ubahili
napiga nje ya 18,mabeki
wakizubaa nawafanya
kama mahindi machanga
sitemi kitu natafuna
gugudugugudu..............
( shoto mwenye jezi ya
azam )

maneno mengi mno ndio maana jamaa hana hata nyama za kutosha
 
Yaani watu mjini wanaishi kimjinimjini tu, amakweli kuishi mjini ni sawa na chuo kikuu mwaka wa tatu,,sio form six kama zamani.

Watangazaji wengi wa clouds, Julio (kocha) etc wanaishi kimjinimjini a.k.a kiporojo.
 
Ni nani na kwanini ni mbwiga? tuwe magreat thinker wa ukweli maana kwa mtu anayefikiria hawezi kupost bila kutoa maelezo yanayojitoleza, yaani hapo ulichofanya ni kama kuandika ktk album yako ambayo wewe pekee ndiye unayejua kwanini uliamua kuandika vile.

duuh! Huu ugreat thinker sasa umevamiwa unataka kujua kwann anaitwa mbwiga? Basi ungejiulza kwanza kwanini mie nilieanzsha hii naitwa degedege, by the huyo mbwiga yupo kwenye kipindi cha sports xtra clouds fm yeye task yake huwa ni kutoa stori za zamani kwa mtindo wja kuchekesha.
 
Yaani watu mjini wanaishi kimjinimjini tu, amakweli kuishi mjini ni sawa na chuo kikuu mwaka wa tatu,,sio form six kama zamani.

Watangazaji wengi wa clouds, Julio (kocha) etc wanaishi kimjinimjini a.k.a kiporojo.

ila mkuu kile kipaji jamaa maarufu sana pale taifa stadium utakuta kakusanya watu kibao anawapa mastori.
 
namkubali sana huyu jamaa yaani anavyojua kupangilia maneno sipati picha angekuwa na weledi na mpira wa ulaya ingekuwaje!anakuambia yeye ni mzaramo pure baba na mama yaani kama sketi na blauzi!............
 
Jamaa anajua kutoka nje ya mada.
Ataanza na stori ya yanga alaf ataenda timu ya taifa atakupa stori za chui mbwa ndege njiwa samaki mandazi karanga alaf atarudi Yanga
 
Jamaa anajua kutoka nje ya mada.
Ataanza na stori ya yanga alaf ataenda timu ya taifa atakupa stori za chui mbwa ndege njiwa samaki mandazi karanga alaf atarudi Yanga

Wow..............mpeni kipindi cha chei chei kwenye redio zetu basi!
 
ahsante kwa kutuonesha buwana..! ila bongo ni noma sana..!:yawn:
 
Naitwa mbwiga mbwiguke
mkole wa nyani kibwaya
mkia uzee wa simba si ujana
wa fisi, unga robo chenji
irudi mtu mwenye maneno
mengi muongo muongo,
kisheti yaani fundi wa
mpira mjanja mjanja
ukiutaka nakupa kama
sitaki nakufanyia ubahili
napiga nje ya 18,mabeki
wakizubaa nawafanya
kama mahindi machanga
sitemi kitu natafuna
gugudugugudu..............
( shoto mwenye jezi ya
azam )

Ndugu yangu licha ya presentation yako iliyojaa nakshi ya kisanii (artistic) lakini hueleweki; jaribu kufafanua hasa wataka watu wapate ujumbe gani kuhusu huyo Mbwiga wa Mbwiguke. Hutapoteza chochote kama utafanya ufafanuzi, na si ajabu ukapata michango bora ya mawazo kuliko sasa kila mchangiaji anakushangaa. Usikurupuke kuweka post, jipange halafu weka. Ni ushauri tu, ukipenda uchukue ukipenda endelea hivyo hivyo hovyo hovyo!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom