Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,738
- 42,829
- Thread starter
- #21
Ndugu yangu licha ya presentation yako iliyojaa nakshi ya kisanii (artistic) lakini hueleweki; jaribu kufafanua hasa wataka watu wapate ujumbe gani kuhusu huyo Mbwiga wa Mbwiguke. Hutapoteza chochote kama utafanya ufafanuzi, na si ajabu ukapata michango bora ya mawazo kuliko sasa kila mchangiaji anakushangaa. Usikurupuke kuweka post, jipange halafu weka. Ni ushauri tu, ukipenda uchukue ukipenda endelea hivyo hivyo hovyo hovyo!!!!
from the psychological point of view nmegundua mama mdogo na unastress sana hvyo basi unataka umalzie hasira zako kwangu, by the way mbna lengo la thread yangu lipo wazi na kutoielewa kwako ni labda sio mfuatiliaji wa mpira wa miguu. Kwa kukusaidia huyo mbwiga ni mchambuzi wa mpira wa miguu sanasana kwa mechi za zamani kwa mtindo wa uchekeshaji, uktaka kumfahamu zaidi sikiliza kipindi cha sports xtra clouds fm saa 3 ucku.