Vichekesho Vya Mbwiga wa Mbwiguke

Vichekesho Vya Mbwiga wa Mbwiguke

Van gaal

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2014
Posts
265
Reaction score
107
Mbwiga Mbwinguke, mkora nyani kibwaya mkia, Midfield kisheti! Nazitupa tu huku kule halafu naziomba, nimchakamchaka tu, sako la nyani hilo ngedere haponi.

Sasa ngoja nikupe kosi hilo kosi hatari la wanajeshi wenye roho mbaya, yaani kila ukiwaona wanahamu wakichafue tu. Mwaka 1973 hiyo, wapi hiyo? Ndani ya Mkwakwani Stadium Tanga yani unga robo chenji irudi!

Si unajua kamakawaida sisi wazaramo majina yetuni Shida , Majaliwa,Matatizo, halafu usipokuja kwenye ngoma ya mwananguna mimi msiba wababako siji. Rusha vocha nkumalizie utamu wa Mbwiga wa Mbwiguke mkora nyani kibwaya mkia.

Teh!teh!teh!, hivi huyu jamaa na kitandani anakuwaga na mbwembwe hizo au ni kwenye mambo ya mpira tu!
 
Jamaa kachangamkia fulsa ya utangazi kwa uongeaji wake


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Mbwiga Mbwinguke,
mkora nyani kibwaya
mkia, Midfield kisheti!
Nazitupa tu huku kule
halafu naziomba, ni
mchakamchaka tu, sako la nyani hilo
ngedere haponi.
Sasa
ngoja nikupe kosi hilo
kosi hatari la
wanajeshi wenye
roho mbaya, yaani kila ukiwaona wanahamu
wakichafue tu. Mwaka
1973 hiyo, wapi hiyo?
Ndani ya Mkwakwani
Stadium Tanga yani
unga robo chenji irudi! Si unajua kama
kawaida sisi
Wazaramo majina yetu
ni Shida , Majaliwa,
Matatizo, halafu
usipokuja kwenye ngoma ya mwanangu
na mimi msiba wa
babako siji….rusha
vocha nkumalizie
utamu wa Mbwiga wa
Mbwiguke mkora nyani kibwaya mkia.

Teh!teh!teh!.....hivi huyu jamaa na kitandani anakuwaga na mbwembwe hizo au ni kwenye mambo ya mpira tu!

Naomba kukusumbua mkuu, naomba historia ya uyu jamaa Mbwiga, kuanzia utotoni mpaka ukubwani kama unamfahamu na elimu yake na jinsi alivyopata kazi pale clouds, maana mm napendaga kumsikiliza yeye kwenye kipindi cha michezo hapo clouds.

Ila pole kwa usumbufu mkuu maana nataka awe my role model wangu.
 
Mbwiga Mbwinguke,
mkora nyani kibwaya
mkia, Midfield kisheti!
Nazitupa tu huku kule
halafu naziomba, ni
mchakamchaka tu, sako la nyani hilo
ngedere haponi.
Sasa
ngoja nikupe kosi hilo
kosi hatari la
wanajeshi wenye
roho mbaya, yaani kila ukiwaona wanahamu
wakichafue tu. Mwaka
1973 hiyo, wapi hiyo?
Ndani ya Mkwakwani
Stadium Tanga yani
unga robo chenji irudi! Si unajua kama
kawaida sisi
Wazaramo majina yetu
ni Shida , Majaliwa,
Matatizo, halafu
usipokuja kwenye ngoma ya mwanangu
na mimi msiba wa
babako siji….rusha
vocha nkumalizie
utamu wa Mbwiga wa
Mbwiguke mkora nyani kibwaya mkia.

Teh!teh!teh!.....hivi huyu jamaa na kitandani anakuwaga na mbwembwe hizo au ni kwenye mambo ya mpira tu!

Si umkaribishe kitandani kwako akimaliza uje utujuze kama anazo au la??? Tutajuaje sisi??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom