Huyu ndiye binti wa Mwl Mwakasege ambaye ni mmoja wa marubani aliyerusha ndege iliyobeba mwili wa Rais Magufuli

Ndio uswahili mkuu yaani ndio hulka kama huko wanarusha n huku hakuna why tumnyime credit?roho mbaya haijengi...hongera Ana...
Ila tumekua wajinga sana yaani tunapongeza kila kitu kama mazwazwa, sasa kuna ajabu gani kwa mwanamke kurusha ndege? Kwani ndiye binti wa kwanza kurusha ndege? Duniani huko mabinti wa miaka 23 wanarusha ma Boeing na Airbus mbona hawajimwambafy? Tupunguze ujinga mwisho sasa tutaanza kusifia ujinga na kujifunua kua hatuna akili. By the way hizi mentality ndio zinachochea kinadada kujiona wanyonge mkijua mnawasaidia maana mnageuza kitu kidogo kua kikubwa mpaka na wengune wataogopa kuendea hizo fani kwa kuona ni za watu gifted. Tuache Ulimbukeni
 
What is so spesho about urubani!!?
hawa ni madereva tu

Bei za hizo ndude makes the difference.

Bila ya shaka ndiyo sababu hakabidhiwi dereva dereva tu kama wewe au hata kama wa daladala tu.

Haiyumkiniki ndiyo maana beberu naye badala ya kuwa busy machungani kuliko wingi wa mbususu nalo limetia timu papo kwa hapo.

Hiiiiii bagosha!
 
Back
Top Bottom