Huyu ndiye binti wa Mwl Mwakasege ambaye ni mmoja wa marubani aliyerusha ndege iliyobeba mwili wa Rais Magufuli

Hesabu za kugawanya tu huwezi; halafu unataka uwafananishe marubani na nyie ambao hata manual transmission vehicle hamuiondoi!!?
Ken.ge kweli ww...kwa akili yako fupi unajua kuendesha ndege ni bonge ya deal......
wakati ukienda JP watoto wa miaka 8 wanarusha hayo makitu
 
Huyu mzee watoto wake wanashika pazuri, yule marehemu alikuwa WB at the age of 25
 
Mimi ni rubani wa kurusha ndege! Huyo ni first officer kwa jinsi walivyoketi hapo. Anayerusha ndege ni huyo mwanaume aliyeketi upande wa kushoto! Huyo ndiye anayesukuma huo mtambo! Mwakasege ni msaidizi hapo!
Asante sana rubani
 
Warembo wengi sio rahisi kufanikiwa masomoni kwa sababu wako targeted sana na wanaume.

Wanaofanikiwa masomoni wengi wao ni wanawake wasio na mvuto.
Kuna ka uhakika fulani hapo na ndiyo maana wanawake wengi wenye nafasi kubwa kwenye serikali sura zao ni balaaa
 
Back
Top Bottom