Huyu ndiye Binti aliyechapwa makonde na kujeruhiwa vibaya na msanii TID hapo jana Usiku..!!

inasikitisha...but how can such a cute looking chick love this drug addict?

i hear you, but then again most porn stars are cute i guess we since don't know what's under the hood let's not assume she is an angel based on her looks alone.
 
!
!
kama mariam nnauye aliambiwa asifanye hivi yeye akakaidi,akaona yeye ni imara zaidi,jeuri zaidi atapigwa tu....na mimi nasema mpige tu maana hamna namna,lazima tukubaliane mapenzi ya kinnauyennauye hayana nafasi
 
Niliwahi kupata BAHATI MBAYA ya kukaa pembeni ya tid nikiwa familia yangu.... Kijana hana adabu, haheshimu kabisa mazingira aliyopo na hafai kabisa kwenye jamii

WAMFUNGE TU ILI AACHE KUSAMBAZA MADAWA YA KULEVYA KWA WANABONGOFLEVA

Weka picha
 
Back
Top Bottom